Msanii mahiri wa kizazi kipya Diamond akiimba hivi sasa mbele ya umatndai wa watu ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar,kwenye onesho lake maalum iliyoitwa Diamond are Forever Concert
Diamond akiendelea kukamua mbele ya umati wa watu waliofika kulishuhudia onesho lake maalum linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini dar.Picha zaidi bofya hapa.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeletedogo anasitahili pongezi,kuanza peupe yaani zero mpaka hapo alipo? mungu amsaidie ubunifu zaidi na zaidi ya hapo kwani anakipaji si bure.
ReplyDeleteMambo ya wabongo kuiga mamtoni,sasa mtu unaenda mziki halagu unaketi kitini, enzi zetu za msondo,vanga vanga, sikinde nk, FM disco,Space,Biribi,etc HAKAI MTU.
ReplyDeleteis that my mdogo elina rocking loubs?you look so fly mamy..natalie
ReplyDeletenaomba nijuzwe kidogo, hv hiyo sikukuu ya wajinga kama alivyo-comment huyo jamaa wa kwanza inakuwa tarehe ipi, na mwezi upi. Maana mpaka naandika haya, bado hiyo tarehe tajwa haijafika, hivyo nahisi kama ameiharakisha vile! au huyo aliyeweka picha hizo alimaanisha nini. Naomba niwekwe wazi kidogo ktk utata huu
ReplyDeleteKazi nzuri sana Diamond, dedication yako ni ya kuigwa
ReplyDelete