Msanii mahiri wa kizazi kipya Diamond akiimba hivi sasa mbele ya umatndai wa watu ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar,kwenye onesho lake maalum iliyoitwa Diamond are Forever Concert
Diamond akiendelea kukamua mbele ya umati wa watu waliofika kulishuhudia onesho lake maalum linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini dar.Picha zaidi bofya hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. dogo anasitahili pongezi,kuanza peupe yaani zero mpaka hapo alipo? mungu amsaidie ubunifu zaidi na zaidi ya hapo kwani anakipaji si bure.

    ReplyDelete
  3. Mambo ya wabongo kuiga mamtoni,sasa mtu unaenda mziki halagu unaketi kitini, enzi zetu za msondo,vanga vanga, sikinde nk, FM disco,Space,Biribi,etc HAKAI MTU.

    ReplyDelete
  4. is that my mdogo elina rocking loubs?you look so fly mamy..natalie

    ReplyDelete
  5. naomba nijuzwe kidogo, hv hiyo sikukuu ya wajinga kama alivyo-comment huyo jamaa wa kwanza inakuwa tarehe ipi, na mwezi upi. Maana mpaka naandika haya, bado hiyo tarehe tajwa haijafika, hivyo nahisi kama ameiharakisha vile! au huyo aliyeweka picha hizo alimaanisha nini. Naomba niwekwe wazi kidogo ktk utata huu

    ReplyDelete
  6. Kazi nzuri sana Diamond, dedication yako ni ya kuigwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...