Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa wahadhiri wa Kimataifa (wazalendo) walioshiriki katika warsha ya utayarishaji wa Mitaala ya masomo ya Uzamili na Uzamivu katika Kiswahili,ukiongozwa na Mwenyekiti wao Prof Said Ahmed wa Ujerumani,(wa pili kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Home
Unlabelled
Dk. Shein akutana na Wahadiri wa Kimataifa Ikulu Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hawa walikua wametupwa na kusahauliwa, afadhali Dr.Shein na serikali yako kwa kuanza kuwakumbuka, hii ni hazina yetu tuitumie ili tuweze kusonga mbele.
ReplyDeleteKwenye PhD hakuna mtaala. Ni mchango wako tu ndio unaoangaliwa!!
ReplyDeleteMdau namba mbili, kuna mitaala kwa ajili ya postgraduate courses ambazo ni za masters na phd programs.
ReplyDeleteKwa hiyo University niliyosoma mimi lazima upige kitabu cha uhakika na 700 courses.