Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa wahadhiri wa Kimataifa (wazalendo) walioshiriki katika warsha ya utayarishaji wa Mitaala ya masomo ya Uzamili na Uzamivu katika Kiswahili,ukiongozwa na Mwenyekiti wao Prof Said Ahmed wa Ujerumani,(wa pili kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hawa walikua wametupwa na kusahauliwa, afadhali Dr.Shein na serikali yako kwa kuanza kuwakumbuka, hii ni hazina yetu tuitumie ili tuweze kusonga mbele.

    ReplyDelete
  2. Kwenye PhD hakuna mtaala. Ni mchango wako tu ndio unaoangaliwa!!

    ReplyDelete
  3. Mdau namba mbili, kuna mitaala kwa ajili ya postgraduate courses ambazo ni za masters na phd programs.

    Kwa hiyo University niliyosoma mimi lazima upige kitabu cha uhakika na 700 courses.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...