Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Ezekiel Maige amemteua Dk. Casta Tungaraza (pichani) kuwa Balozi wa Hiyari wa Utalii katika Nchi ya Australia kuanzia tarehe 23.3.2012.
Akiwaandikia viongozi wa Jumuia ya Watanzania (Western Australia), Balozi wa Tanzania nchini Japani anayesimamia pia Australia, Mhe. Salome T. Sijaona alionyesha furaha yake na kumtakia balozi huyu mpya mafanikio katika kuitangaza Tanzania katika nyanja za utalii.
Dr Tungaraza hivi majuzi tu aliingizwa katika Hall of Fame ya wanawake huko Australia na pia kupewa Nishani ya Uwanaharakati katika Jamii huko huko Australia.
Naomba nielimisheni maana ya "Balozi wa Hiyari wa Utalii"
ReplyDeleteMdau
Tourism and Goodwill Ambassador
DeleteCongratulation Sister Mwenyezi mungu azidi kukufungulia njia.
ReplyDeleteLil Bro Saleh UK.
Asante sana!
DeleteCasta
Hongera dada Casta, ninakumbuia ulikuwa kichwa sana pale Korogwe Girls. Fly our flag go go go lady!
ReplyDeleteAsante kwa salamu - inaelekea tulikuwa wote Korogwe...
DeleteShukran kwa salamu zako za sasa na za awali.
Casta
hongera sana dada yetu
ReplyDeleteHongera Sana Auntie Casta, ubarikiwe sana!
ReplyDeleteHongera sana Casta. Dada Maria
ReplyDelete