Mwandishi :  Gloria  Elibariki

Kitabu  hiki  kinazichambua  kwa  kina  sababu  zinazo  sababisha tatizo  la  kitambi  kwa  wanawake  na  wanaume.  Athari za  Tatizo la  Kitambi. Pamoja  na  orodha  ya  vyakula, vinywaji  na  mitishamba  inayo  tibu  tatizo  la  kitambi  kwa  uhakika  na  haraka  bila  ya madhara ( side  effects ).  

Vile  vile  ndani  ya  kitabu hiki 
utapata  kuvijua  vyakula, vinywaji  na  mitishamba   inayo  weza kukukinga  na  kupatwa  na  ugonjwa  wa  kitambi  (  kwa  wewe  ambaye  bado haujapatwa  na  tatizo  hilo  au  wewe  ambaye  umepona  tatizo 
hilo ).  Halikadhalika  ndani  ya  kitabu  hiki  utapata  kusoma shuhuda  za  watu  mbalimbali  waliopona  tatizo  la  kitambi  kwa kutumia  vyakula, vinywaji  na  dawa  za  asili..

BEI  YA  KITABU :  Kitabu  hiki  kinauzwa  kwa   shilingi  za kitanzania  Elfu  Tano  TU ( Tshs  5000/=)

Kwa  wanunuaji  wa  reja reja :
wasiliana  nasi  kwa  simu  namba :

Kwa  wanunuaji  wa  jumla:
wasiliana  nasi   kwa  simu  namba  :0682862744

Kwa  maelezo  zaidi, tutembelee :  



KARIBUNI  SANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Dawa ya kitambi ni kula chakulakidogo mara nyingi. Sio kupakia debe la wali au ugali kwa mkupuo. Pili kufanya mazoezi anaglau dakika thelarhini kila siku au japo siku tatu kwa wiki. Pia punguza kunya bia ( samahami TBL)

    Hili likizingatiwa linasaidia pia kupunguza kisukari, na kuchelewesha athari za kisukari kwa wenye ugonjwa huo.

    ReplyDelete
  2. Hii imekaa Vizuri badala ya kupigana dhidi ya vitambi kwa kuandaa Mabonanza ya Michezo yanayohitimishwa na Tafrija za Bia, Ugali,Kachumbari kwa Nyama choma,,,!

    ReplyDelete
  3. kutibu kitambi,zaidi ya kufanya mazoezi ,kupunguza kula vyakula vyenye fat,kula mboga na matunda kwa wingi mwili utapungua sana.

    ReplyDelete
  4. Kitambi siyo ugonjwa, ebu msitafute kulia watu hela kiujanja ujanja. Mazoezi ndiyo dawa yake.

    ReplyDelete
  5. Kitambi siyo ugongwa ispokuwa ni risk factor ya magonjwa. Unaweza punguza kitambi kwa kubadilisha mtindo wa maisha (lifestyle modification). Mfano, mazoezi mara kwa mara, kula mboga za majani kwa wingi, matunda, vyakula visivyokuwa na mafuta mengi, vyakula visivyokuwa na chumvi nyingi, kunywa maji mara kwa mara. Epuka pombe na sigara. Acha kula japokuwa unahitaji kula zaidi n.k. Huitaji dawa kupunguza uzito.

    ReplyDelete
  6. Mtume (SAW) amesema kula unapokuwa na njaa kwa kiasi cha kukata njaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...