Mwandishi : Gloria Elibariki
Kitabu hiki kinazichambua kwa kina sababu zinazo sababisha tatizo la kitambi kwa wanawake na wanaume. Athari za Tatizo la Kitambi. Pamoja na orodha ya vyakula, vinywaji na mitishamba inayo tibu tatizo la kitambi kwa uhakika na haraka bila ya madhara ( side effects ).
Vile vile ndani ya kitabu hiki
utapata kuvijua vyakula, vinywaji na mitishamba inayo weza kukukinga na kupatwa na ugonjwa wa kitambi ( kwa wewe ambaye bado haujapatwa na tatizo hilo au wewe ambaye umepona tatizo
hilo ). Halikadhalika ndani ya kitabu hiki utapata kusoma shuhuda za watu mbalimbali waliopona tatizo la kitambi kwa kutumia vyakula, vinywaji na dawa za asili..
BEI YA KITABU : Kitabu hiki kinauzwa kwa shilingi za kitanzania Elfu Tano TU ( Tshs 5000/=)
Kwa wanunuaji wa reja reja :
wasiliana nasi kwa simu namba :
Kwa wanunuaji wa jumla:
wasiliana nasi kwa simu namba :0682862744
Kwa maelezo zaidi, tutembelee :
KARIBUNI SANA
Dawa ya kitambi ni kula chakulakidogo mara nyingi. Sio kupakia debe la wali au ugali kwa mkupuo. Pili kufanya mazoezi anaglau dakika thelarhini kila siku au japo siku tatu kwa wiki. Pia punguza kunya bia ( samahami TBL)
ReplyDeleteHili likizingatiwa linasaidia pia kupunguza kisukari, na kuchelewesha athari za kisukari kwa wenye ugonjwa huo.
Hii imekaa Vizuri badala ya kupigana dhidi ya vitambi kwa kuandaa Mabonanza ya Michezo yanayohitimishwa na Tafrija za Bia, Ugali,Kachumbari kwa Nyama choma,,,!
ReplyDeletekutibu kitambi,zaidi ya kufanya mazoezi ,kupunguza kula vyakula vyenye fat,kula mboga na matunda kwa wingi mwili utapungua sana.
ReplyDeleteKitambi siyo ugonjwa, ebu msitafute kulia watu hela kiujanja ujanja. Mazoezi ndiyo dawa yake.
ReplyDeleteKitambi siyo ugongwa ispokuwa ni risk factor ya magonjwa. Unaweza punguza kitambi kwa kubadilisha mtindo wa maisha (lifestyle modification). Mfano, mazoezi mara kwa mara, kula mboga za majani kwa wingi, matunda, vyakula visivyokuwa na mafuta mengi, vyakula visivyokuwa na chumvi nyingi, kunywa maji mara kwa mara. Epuka pombe na sigara. Acha kula japokuwa unahitaji kula zaidi n.k. Huitaji dawa kupunguza uzito.
ReplyDeleteMtume (SAW) amesema kula unapokuwa na njaa kwa kiasi cha kukata njaa.
ReplyDelete