Col. ANDERSON MWANG’AMBA (1942 – 2003)
Leo imepita miaka Tisa, kamwe hatujasahau Ucheshi , Upendo, na Ukarimu wako. Baba, mioyoni mwetu tunakumbuka urafiki na utajiri wa ushauri mzuri wa maisha uliyotupatia. Tunamshukuru Mungu tunaishi kwa Amani, Upendo, Umoja na Ushirikiano katika kuyaenzi maisha yako.
Unakumbukwa sana na mke wako mpenzi Asteria Mwang’amba na watoto wako Uti, Neema na Pendo na familia zao zote.
Tunatumaini Mwenyezi Mungu amekupa mapumziko mema!
Mungu alikupenda zaidi!
ReplyDelete