Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mh. Sophia Simba (mbele mwenye kofia) akiongoza maandano ya Wanawake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Rais IKULU.Maandamano haya yaliishia kwenye viwanja vya mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam ambapo yalipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick.
Home
Unlabelled
Maadhimisho ya Siku wa Wanawake Duniani jijini Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kweli Wanawake tupo juu tumependezaje hapooo WERAAAAAAAA
ReplyDeleteKila kesho ina kesho yake.
ReplyDeleteKesho ikifika mtasema mnaisubiri kesho, halafu kesho inayofuatia ikifika mtasema tena mnaisubiri kesho, kesho inayofuatia tena ikifika mtasema mnaisubiri kesho-yake. Kwasababu hii kesho haifikiki. Kwa mfano, nogesheni huo mstari wa mwisho kwenye bango kwa kuandika:
‘Wasichana Taifa la Leo Waendelezeni’
Sikukuu njema.