Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na mkurugenzi mtendaji wa Tume ya Kikristo ya Huduma za jamii Bw. Peter Maduki (kushoto) mara baada ya kufungua mkutano wa kimataifa unaojadili utoaji wa fedha za miradi ya afya kulingana na huduma zinazotolewa katika vituo husika vya afya mkutano ambao umewashirikisha wahisani na wajumbe kutoka nchi 15 za Afrika.Katikati ni Waziri wa Afya wa Burundi Dkt.Sabine Ntakarutimana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha yya pamoja na viongozi wa Wizara ya Afya na Ustawi kutoka Tanzania na baadhi Jamii na viongozi wafadhili wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mkutano huo leo jijini Dar es salaam.
Washiriki wa mkutano unaojadili utoaji wa fedha za miradi ya afya kulingana na huduma za afya zinazotolewa kutoka nchi 15 za Afrika wakiendelea na mkutano huo leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa nchi mbalimbali zilizoshiriki mkutano wa kimataifa unaojadili utoaji wa fedha za miradi ya afya kulingana na huduma zinazotolewa leo jijini Dar es salaam.Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...