Mgeni rasmi katika ufunguzi wa mashindano hayo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, akisalimiana na mwamuzi wa mpambano huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ramadhan Dau.
Waziri Kabaka, akizungumza na waachezaji katika ufunguzi huo, Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ramadhan Dau na wa pili ni Mwenyekiti wa NSSF.
Waziri Kabaka, akipiga mpira katikati ya Uwanja wa Sigara (TCC), Chang'ombe, ili kuyafungua mashindano hayo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hii ni hatari sana. Uwanja wa TCC Sigara umekuwa Jangwa namna hii? Uwanja uliokuwa wa kijani umlipendeza na kuvutia hata timu za nje kuweza kufanya mazoezi wakati wa klabu Bingwa ya Afrika leo siamini machoi yangu. Wenyewe wako wapi? Kweli Tanzania mwisho. Hatuwezi kuhifadhati vitu. Yaani macho yangu sikuamini hasa ukizingatia kwamba hakuna viwanja vyenye eneo zuri na compound nzuri kama huu. Basi uwekwe nyasi bandia au shida ya maji ama nini hatari.

    ReplyDelete
  2. habari za jioni Dr na hiyo trucksuit arsenal wanakuhitaji urudi ulingoni

    ReplyDelete
  3. Sawa Daktari hayo ndio mambo, kumbe Upo vuziri tu ki Mpira siyo?,,,naona unavyoutuliza hapo picha ya chini kama Gerald wa Liverpool!

    ReplyDelete
  4. Assalama Leko zako Dkt. Dau,,,!!!

    Mpishi Mzuri ni yule aonjae mapishi akishuhudiwa na Walaji!

    ReplyDelete
  5. Ankal, huyo ni DOCTOR Ramadhani Dau (si daktari wa mgomo yeye ana digrii tatu za vyuo vikuu na vyote na vy honours na honoris causa). Nasisitiza hilo, kwa kuwa Dr Dau is the most succesful Tanzanian executive leading the country's most succesful institution, NSSF. Tanzani tukipata ma-executives 20 tu kama yeye, this countruy will be the envy of Eastern and Southern Africa in terms of efficiency.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...