Meneja wa Bendi ya Mashujaa,Max Luhanga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kumtambulisha rasmi mnenguaji machachari aliyetokea Bendi ya African Stars (Twanga Pepeta) Lilian Internet (kushoto).Kulia ni King Dodoo ambaye ni Mtaribu wa Bendi hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mdogo wangu Lillian tamaa ni mbaya sana,utakuja jutia mahala ulipofanyia kazi miaka kibao toka ukiwa binti mdogo...hao watu sidhani kama utafika nao mbali,Hongera lakini...

    ReplyDelete
  2. Mtu mwenyewe garasa kwa sasa, naona Twanga walikuwa wanamounea aibu hata kumwacha kwenye kikosi cha wacheza show mpaka leo. haendani kabisa na mabinti waliopo sasa. Bora alivojingatua manake angezidi kufunikwa na vimwana vya sasa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...