Ukiwa unakatika katika maeneo mengi ya jijini Dar,pembezoni mwa barabara kuna chemba za kupitisha maji machafu ambazo nyingi zilikuwa na mifuniko ya chuma ambayo sasa haipo (nafikiri itakuwa ishapelekwa kupimwa kwenye vyuma chakavu) na kuacha mashimo haya yote kuwa wazi namna hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Biashara imesha hodhiwa na Wadau wa vyuma Chakavu hukoooo Mitaa ya Gerezani na Jangwani Kariakoo.

    ReplyDelete
  2. Wala msihangaike nendeni maeneo ya Gerezani na Jangwani Kariakoo huko kwenye watu wenye kupenda urahisi wa maisha mtawakamata nayo mifuniko!

    ReplyDelete
  3. Hatari kwa watembea na miguu. Hivi hawa wezi hawajui atakae umia ni mwenzao? mpanda gari ata athirika vipi?

    ReplyDelete
  4. Mwewe wa Okota okota wamesha jisevia hiyo mifuniko.

    La muhimu muwahi Gerezani na Jangwani Kariakoo kwenye mauzo za vyuma chakavu 'Skrepa' !

    ReplyDelete
  5. Jamani hizi okota okota sasa zimezidi,,,

    Yaani hata Mifuniko ya Mifereji na Makaro ya Barabara mtu atasema ameokota?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...