Mgeni rasmi Kassim Majaliwa akimlisha keki Mwenyekiti wa Simba Sc,Alhaji Aden Rage huku wageni waalikwa meza kuu wakishuhudia tukio hilo.
Keki yenyewe ilivyokuwa imenoga.
Nianze nani kumlisha jamaani....! Mwenyekiiiiitiiiiiiiiii.
Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa akikata keki huku sehemu ya meza kuu ikishuhudia tukio hilo adhimu na ka kihistoria.
Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa,akibofya kitupe kuzindua rasmi kipindi cha Simba TV kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha cha runinga cha Clouds,hafla hiyo imefanyika kwenye jengo la Quality Center kwenye ukumbi wa Cleopatra,jijini Dar,Kulia ni Mwenyekiti Msaidizi Simba,Geofrey Nyange 'Kaburu'Mh Alhaj Kapuya na shoto ni Mwenyekiti wa Simba Sc Alhaj Ismail Aden Rage,na Afisa habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga
Makofi tafadhali..!Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa,akipiga makofi mara baada ya kuzindua kipindi cha Simba TV kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha cha runinga cha Clouds,hafla hiyo imefanyika kwenye jengo la Quality Center kwenye ukumbi wa Cleopatra,jijini Dar,Kulia ni Mwenyekiti Msaidizi Simba,Geofrey Nyange 'Kaburu'Mh Alhaj Kapuya na shoto ni Mwenyekiti wa Simba Sc Alhaj Ismail Aden Rage,na Afisa habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga kwa pamoja urwakipiga makofi kufurahia uzinduzi huo uliofana kwa kiasi kikubwa.
Kulikuwepo na ufunguaji wa shampeni kabla ya kukatwa keki kama hivi pichani.Picha zaidi Bofya Hapa
kila kitu kimekaa safi. ila du huu mchezo wa kulishana keki ulianza lini jamani?
ReplyDeletewenu
Mr Inanitiar Kichefuchefur
Hongera sana Simba.Hivi "sisi yanga" tuna kituo cha Luninga?Simba TV kama Liverpool TV..!!
ReplyDeleteDavid V
Hii TV yenu ya asilia ya 'Mtungi wa Maji' kama Ramli ya Mganga wa Kienyeji ndio itawafaa ili MABAO YAKIZAMA NDANI YA NYAVU ZA MSIMBAZI BAADA YA KUTUMWA KUTOKEA JANGWANI MTAYASHUHUDIA ''LIVE'',,,KAMA DAR LIVE!
ReplyDeleteTelevisheni yenu 'Uchwara' ya Msaada wa Clouds ndio mtashuhudia kwa macho yenu jinsi 'Mkuki wa Moto Ukizama ndani ya Moyo wa Mnyama'
ReplyDeleteAsamoah, Asamoah, Asamoahhhhh Gooooooooooo!
Simba Tv au Simba Show
ReplyDeleteBlog ya jamii tutaomba na matokeo ya Cairo kadri mnavyoyapa.Tunawategemea sana
ReplyDeleteKlabu kubwa akama Simba yenye washabiki kibao bado mnashindwa kuanzisha kituo cha kurusha matanganzo kwa njia ya Televisheni?
ReplyDeleteYaani Simba mnawapa ulaji Clouds kupitia Simba Show programme?
Kweli kunatakiwa viongozi wabunifu ili Yanga na Simba ziwe kama Chelsea Tv, Liverpool TV , n.k
Mdau mwenzangu David V.
ReplyDeleteHizi Hongera za Simba TV kama Liverpool TV ,Hizi hongera ziambatane na Pole kwa kuwa itakuwa machungu zaidi pale Msumari wa Yanga SC. utakavyokuwa unatazamwa unazama ndani ya mbao ya Simba SC. tena live kupitia TV yao wenyewe!
Simba SC. Mtafunga wenyewe Kituo chenu cha Luninga mtakapoona kwenye TV yenu 'Minemba inazama Wavuni kwenu live' ikitokea tena Yanga S.C!
ReplyDeleteHongera Simba S.C isipokuwa TV inaweza kuwaletea maafa zaidi kwa Mashabiki wenye midadi.
ReplyDeleteIle tu Kenneth Asamoah anazamisha 'Msumari' dakika ya 89 na sekunde 55 hivi Mashabiki wanazimia wanakimbizwa Hospitali sembuse ije kuwa Stesheni ya Luninga ipo Klabuni Msimbazi?
Thubutu,,,labda Mtangazaji wa hiyo TV awe Mwana Msimbazi pia!
hahahah wazee wa fitinaaa! tumeumia! dah ila hapo tukipekuana vizuri hapo wengine lazima wae na mijibastola viunoni!
ReplyDeletebwebwe kibao kumbe sio Tv kamili.
ReplyDeleteNivyema ikaitwa Simba Tv show in clouds
Mbwembwe kibao kumbe mchezo ndani ya runinga ya clouds... well try.
ReplyDeleteNivyema ikaitwa Simba Tv Show in Clouds
Mwanaume kumlisha keki mwanaume mwenzako kwa kweli haipendezi.
ReplyDeletehivyo simba hamna wanachama na viongozi wanawake wako wapi jamani ......
ReplyDeletehaya sasa na nyinyi yanga funguweni tv yenu,sisi simba tumeanza na nyinyi mtafatia.Michuzi piga kampeni najua wewe ni yanga damu.
ReplyDeletekulishana keki usharobaro!
ReplyDeletecha kushangaza, vijana ambao wanatarajiwa kuwa wanajua maana ya siku hizi kulishana keki kwa wanaume wamekalia macho wanaangalia tu. Jamani tuelimishana.
ReplyDeletekeki ndio kuleni lakini mshilishane!
Wenu
mr Inanitiar Kichefuchefu 2
du mambo ya kulishana keki wanaume wazima mmeyatoa wapi labda mje marekani muungane na wenzunu walikubalika ili muendeleze hiyo tabia chafu mmeshindwa kutafuta mwanachama mama awalishe keki au mgawane kiume kila mtu akate kipande chake
ReplyDeleteKulishana Keki Michosho!
ReplyDeleteYaani hata kama akitafutwa Mwanamama Shabiki bado pana swali ataulizwa Mlishaji na Mlishwaji nyumbani kuwa inakuwaje,,,Umlishe yule Keki,,,inakuwaje,,,Akulishe Keki?
Keki Mwanaume kwa Mwanaume ni dalili za Ndoa ya Jinsia moja,,,KWISHA KAZI!
ReplyDeleteKulishana KEKI:
ReplyDeleteHapo ni
NANI DUME na NANI JIKE?
Hii kulishana Keki Mwanaume kwa mwanaume ni mipango kutokea Somalia nini?
ReplyDeleteMaana kwa Matajiri wetu hawa wa mawazo kwa njia ya Hisia za Mirungi kila viatu vya Mikanda Sandals inaonekana kwao ni Makubazi ya Muungwana hata kama ni vya KIKE!
Kula, kula, kula unenepe weye!
ReplyDeleteUkitaka tende chukuwa ,Ukitaka Haluwa chukua ,Ukitaka keki tafuna, Lakini.....Mk...du panua!
Hapo anayelishwa keki ndio Jike!
Baada ya Kulishwa Keki inabidi uilipie!
ReplyDeleteNdio yaleyale ya Zanzibar na Mombasa unaingia Hotelini unaagiza chakula unamaliza unataka kulipa unaambiwa Masha hofu umeshalipiwa na yuleeee mwenye kofia ya kibandiko pembeni kwenye meza ya kona,,,!
Loh ukimtazama Kofia ya Kibaragashia aliyoivaa ameichongoa Kijunju kwa juu utosini na ameisogeza amefunika paji la uso hadi kwenye kope za macho na ndevu zake za Mzuzu kama Beberu dume la mbuzi zimetiwa hina!,,,Lahaula lakwaaata!
Bure ghali!
Yanga S.C tutafungwa na Zamalek ya Misri lakini ninyi gongo wazi Simba S.C tutawafunga na mabao tutalipia yatundikwe live kwenye TV yenu wenyewe!
ReplyDeleteMbao yote Yanga tuliyowahi kuwafunga Simba tutayalipia mwezi mzima yarushwe kwa kurudiwa ktk Luninga yenu!
ReplyDelete