Ankal michuzi salama lakini mimi nipo salama tu kuna swali hapa naomba wadau wanisaidie ni kuhusu hiki cheo cha mkuu wa sekritalieti ya halmashauri kuu ya chama na uenezi wa siasa nchini nakumbuka sana nilikisikia mwanzoni kwa kingunge ngombali mwiru sifahamu sasa ni nani kashika hicho cheo kwa sasa Na wa sijui ni watanzania wangapi wanajua maana ya cheo hicho na kazi yake hapa nchini ntafurahi sana kupata majibu kwani nimesoma somo la siasa hapo zamani lakini sijawahi kusoma hiki cheo na maana yake
Home
Unlabelled
swali la kizushi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kawaulize wazushi wenzio huko mitaani na siyo kwenye blogi hii ya jamii ambayo habari zake zinasomwa na watu weledi na of course wenye taaluma zao.
ReplyDeleteNa Ankal michuzi, wauliza maswali kama haya uwe unawajibu kupitia e-mail zao wanazokutumia ujumbe kama huu ambao majibu yake wanaweza kuyapata kwa wazushi wenzao huko mitaani.
Mdau mara nyingi Madaraka na Vyeo vya Kisiasa hutolewa kwa Misingi ya Kugawana Madaraka na Kuridhishana.
ReplyDeleteHali hii pia hutokea ktk Mfumo wa Serikali inayoundwa ikiwa na Misuguano na yote ni ktk lengo la Kugawana Madaraka na Kuridhishana.
Mfano unaweza kukuta Mtu akawa na Cheo kimoja na akaongezewa Kingine ili aridhike...kama ilivyotokea Kenya baada ya machafuko yaliyofuatia Uchaguzi mwaka 2007 ikawa Uhuru Kenyata akapewa Uwaziri wa Fedha na Makamu Waziri Mkuu kitu ambacho hata ktk Katiba yao hakikuwepo.
Hivyo muundo wa Vyeo ktk Vyama vya Siasa na Serikali tete hutegemea upepo ulivyo pia majukumu yao au kazi zao hutegema Mipaka watayopangiana wenyewe.
Wadau, mtu kauliza swali kwa heshima kabisa, tunachopaswa kufanya ni kumjibu na kama hatuna majibu basi tunyamaze badala ya kulalama, sio lazima kila mtu apost comments hapa
ReplyDelete- kama huna cha kuongea nyamaza
huo ni utaratibu wetu sisi ndani ya chama chetu cha chukua chako mapema, sio lazima kila mtu ajue cheo hicho kina majukumu gani, tukiona kuna ulazima tunatengeneza nafasi ya cheo ili mradi tunaona kutakuwa na manufaa kwetu.
ReplyDeleteunauliza maana,just google,unauliza chama gani? vyama vyote vina website google, hata ukitaka cha uchina
ReplyDeletemdau wa kwanza 100% hili swali huyu jamaa ndo maaana kaliita la kizushi sio lazima liwe na maana kwa watu wote kwangu mimi nadhani cheo hiko kipo katika chama cha ccm na kipo katika halmashauri kuu ila sijui wana maana gani labda kugawana madaraka
ReplyDeletedamn it!!!
ReplyDelete