Pamoja na kwamba kuna tangazo lenye kutahadhalisha tena linaloonekana vizuri tu,lakini bado hawa wenye magari haya wameyaweka hapo hapo.kuna mtu mmoja hupenda kusema kuwa waTz waliowengi ni wavivu sana wa kusoma,sasa sijui na hili nalo linahusiana na kauli hiyo??
Hapa ndio kimewekwa kabisa na kituo cha Taxi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hatari haipaswi kuwa nje ya huo uzio wa bati. Nje ya uzio kisheria ni ruksa pilika kuendelea kama kawaida na kama ikitokea ajali, huyo mkandarasi ndiye wa kuwajibika!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...