Pamoja na kwamba kuna tangazo lenye kutahadhalisha tena linaloonekana vizuri tu,lakini bado hawa wenye magari haya wameyaweka hapo hapo.kuna mtu mmoja hupenda kusema kuwa waTz waliowengi ni wavivu sana wa kusoma,sasa sijui na hili nalo linahusiana na kauli hiyo??
Hapa ndio kimewekwa kabisa na kituo cha Taxi.
hatari haipaswi kuwa nje ya huo uzio wa bati. Nje ya uzio kisheria ni ruksa pilika kuendelea kama kawaida na kama ikitokea ajali, huyo mkandarasi ndiye wa kuwajibika!
ReplyDelete