Kocha wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve kulia akimwelekeza bondia Tomas Mashari wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mpambano wake dhidi ya Bondia Selemani Galile hapo April 9,mwaka huu.
Kocha wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve kushoto akiendelea kumfua bondia Tomas Mashari wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na pambano lake dhidi ya Bondia Selemani Galile hapo April 9,Mwaka huu.
Huyu mbona hana guard anapotupa ngumi zake hajui kuna counterpunch?
ReplyDeleteRas Ntuve Big Up,katika umri wako bado upo ngangali kinoma
ReplyDelete