Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu akizungumza wakati alipokuwa akifungua mkutanao wa wadau wa Mfuko wa Bima ya Afya mkoani Ruvuma.Wengine kushoto ni Makamu mwenyekiti wa Mfuko wa Bima ya Afya Taifa,Ally Kiwenge na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Thomas Sabaya.Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Songea Club.
Makamu mwenyekiti wa mfuko wa Bima ya Afya,Ally Kiwenge akiongea na wadau wa mfuko huo wa mkoa wa Ruvuma katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Songea Club ukishirikisha wajumbe kutoka wilaya zote nne za mkoa wa Ruvuma
Wadau wa mfuko wa Bima ya Afya mkoani Ruvuma wakifuatilia mada zilizowailishwa kwao katika ukumbi wa Songea Club hii leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...