LIGI YA MABINGWA KATI YA YANGA NA ZAMALEK UNAENDELEA HIVI SASA NA HADI TUNAENDA HEWANI YANGA WAMEFUNGWA BAO 1-0 NA HAFTAIMU INAKARIBIA
Home
Unlabelled
zamalek yaongoza moja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
lETENI HABARI ZA TAIFA KUBWA SIMBA....
ReplyDeleteTimu zetu kubwa zinaboronga halafu tunategemea miujiza timu ya Taifa.
ReplyDeleteYanga:Website yenu ina habari za mwaka 2010,haa haaa.Kocha wa Yanga ni Sam Timbe,nk!!Ebu ifanyie utaratibu jamani
David
Michuzi nakufahamisha kama hujasikia kuwa, jana Bwawa la Maini walilala 2-1 mbele ya Arsenal. Naomba iweke humu ili watu wengine waisome.
ReplyDeletebwana Michuzi tuwekee ebu video bwawa la maini walivolala bwana michuzi 2-1 jana na vijana wachanga arsenal nakuomba kwa hisani yako kaka michuzi ,mdau Belfsst
ReplyDeleteKiama kimeshuka!
ReplyDeleteYanga wamekula mweleka Misri sasa warudi kwenye Siasa zao za CCM,,,na Bwawa la Maini UK limeingia Luba baada ya mtutu wa Bunduki wa Arsenal kuachia risasi 2 halafu baruti ya risasi ikazaa Luba Bwawani