Sajent Ali Khasim wa Kikosi cha Usalama Barabarani Zanzibar akitoa elimu juu ya matumizi Salama ya Barabara kwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiembesamaki mjini Zanzibar.
Koplo Othman Daima wa Kikosi cha Usalama Barabara Zanzibar akitoa elimu ya matumizi salama ya barabara kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiembesamaki mjini Zanzibar.
this is very very good
ReplyDeletehii nimeipenda sana, niliwai kuona kwa wenzetu ujerumani, huwa askari wanaenda kindergarden kufanya mazoezi ya sheria za usalama barabarani na watoto wanaoingia darasa la kwanza, tatizo huku kwetu madereva sasa hawajui sheria hao watoto ata wakijua haitasaidia bila ya kunuo madereva
ReplyDelete