Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya kusomea katika skulimya Ukutini Kusini Pemba akiwa katika ziara mkoani humo leo.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akitembelea maeneo ya Skuli ya ukutini baada ya kuzinduzi wa madarasa mapya ya kusomea katika skulimya Ukutini Kusini Pemba akiwa katika ziara mkoani humo leo.Picha na Ramadhan Othman,Pemba.
ankal salamu zako.
ReplyDeletenapenda kuchukua fursa hii kukuomba utuombee kwa ramadhan othman anapoleta mapichaz aweke mengi kidogo ya mheshimiwa Rais wa Zanzibar Dr. Shein kama inavyokuwa kwa Mhesimiwa Rais wa Tanzania Dr. Kikwete.