HABARI ZIMEINGIA SASA HIVI KUTOKA KIGOMA ZINASEMA NDEGE YA ABIRIA YA SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA (ATC) IMEOPATA AJALI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA WAKATI IKITAKA KURUKA. INASEMEKANA ABIRIA WOTE NA WAFANYAKAZI WA NDEGE HIYO WAMENUSURIKA

HABARI KAMILI NA PICHA ZA AJALI YA NDEGE 
HIYO YENYE NAMBA 5H-MWG ZITAWAJIA PUNDE.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jambo jema wote salama.

    hii ndio picha wakati wa uhai wake:

    http://www.airliners.net/photo/Air-Tanzania/De-Havilland-Canada/1483682/L/&sid=0e8c8821cdf3796fa6e2c23718c85042

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...