Kocha wa zamani wa Taifa Stars Marcio Maximo akiwa na wadau alipokutana nao jijini Sao Paulo, Brazil.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. I love you Bro Michuzi

    ReplyDelete
  2. Alipokea Taifa Stars ikiwa ya 150 kwa ubora wa soka akatupandisha mpaka tukawa kwenye mitaa ya mia mia.

    Wabongo kwa kuogopa mafanikio wakamtimua na kumleta ambaye anaturudisha 150 kwa kasi. Tumetulia tuli kama maji ya mtungi.

    Watanzania ni kama tuna laana ya kuogopa mafanikio. Ni kama ngamia anayesubiri kuchinjwa...au mbwa anayetaka kuliwa na chatu.

    ReplyDelete
  3. Hapo ndiyo lugha gongana. Mh JK ni kienglish na hao ni kiportuguese kwa kwenda mbele.

    Ila kwenye fedha hakuna kugombana.

    ReplyDelete
  4. Michuzi wakati gani unafanya kazi maana hapo badala ya wewe kupiga picha unapigwa wewe?

    ReplyDelete
  5. Cosaaa bin Gazaaaaaa, nakuona unafurahia kweli kweli, well done Men!!! ...by Chilly

    ReplyDelete
  6. Ama kweli mganga hajigangi....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...