Juzi Jumamosi mdau Vincent L. Mughwai  alimvisha pete ya uchumba mpenzi wake Angelca Minja huko kwao Marangu Moshi
  Mdau akiwa na mpambe wake Peter mghwira,  huku Angel na mpambe wake Fatma Macha
 msosi tyme
Wazee wa kijiji wakishuhudia tukio

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera sana Angelca Minja. Mmependeza kwa kweli!!
    Swali langu ni, siku hizi sherehe za kuvishwa pete ya uchumba zinahudhuriwa na wazee pia? Kwa jinsi ninavyoelewa mimi hizi ni sherehe za vijana. Marafiki wa karibu, wadada na wakaka wa pande zote mbili. Nielimisheni kama mambo yaenda yakibadikika.

    ReplyDelete
  2. Bi harusi mtarajiwa ameenda hewani si mchezo.

    ReplyDelete
  3. naona m1 wa wazee wa kijiji anawakilisha chama kubwa CCM, kidumu!

    ReplyDelete
  4. HONGERA MGHWAI, ANGALIA USIMVISHE GWANDA ANGELCA..KWA UFUPI USIRUHUSU CDM WAKAMCHAKACHUA...

    ReplyDelete
  5. Hongera mdmau mimi nilijua tayari umeshaoa mama nanii ndio umemtema?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...