Mbunge wa jimbo la Arusha mjini aliyeenguliwa na mahakama Mh Godbless Lema akiwa anatoka eneo la mahakama na wapambe wake mara baada ya kesi yake kumalizika
mmoja wa wanachama wa chadema akiwa anacheza rumba wakati wakimsubiri mwenyekiti wa CHADEMA taifa
mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiwa na mbunge mteule wa jimbo la Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari na Mh Lema alipoongea na wana Chadema Arusha leo
Picha na Habari na Woinde Shizza,arusha
Mahakama kuu Mkoa wa Arusha imetengua matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ambalo lilikuwa chini ya Bw Goodbless Lema mara baada ya kukutwa na hatia ya kukiukia maadili wakati wa kampeni za uchaguzi za
mwaka 2010.
Akitoa hukumu hiyo katika mahakama hiyo Jaji kutoka mahakama ya kanda ya Sumbawanga Jaji Mfawidhi Bw Gabriel Rwakibarira alisema kuwa katika malalamiko 10 yaliyopelekwa na wafuasi wa chama cha mapinduzi (CCM) Mbunge Lema alikutwa na hatia
Jaji huyo alisema kuwa katika mikutano 60 ya kampeni ambayo alifanya Bw Lema Mikutano 8 alikiuka maadili kinyume cha sheria na taratibu za uchaguzi jambo ambalo linafanya matokeo yake ya Ubunge yatenguliwe
Alisema kuwa ndani ya malalamkiko hayo kumi ambayo yamewasilishwa mahakamani hapo alikutwa na hatia katika makosa 8 ambapo mawili hayakukubalika kwa mujibu wa sheria na taratibu za mahakama
“kwa mujibu wa sheria na taratibu Lema amekutwa na hatia katika malalamikio na dondoo nane kwa hali hiyo akasema kuwa nabatilisha matokeo ya ubunge wa jimbo la Arusha Mjini na kwa hali hiyo taratibu nyingine zinatakiwa kuanza kufuatwa “aliongeza Jaji Gabriel
Pia alifafanua kuwa kwa mujibu wa sheria namba 114 katika kifungu kidogo cha kwanza hadi cha saba cha sheria za uchaguzi msajili wa mahakama kwa kanda ya Arusha anatakiwa kukitumia kwa kuhakikisha kuwa anapeleka taarifa kwa tume ya uchaguzi juu ya kunbatilishwwa kwa matokeo hayo
“Msajili wa mahakama anatakiwa kutumia kifungu hiki na kuhakikisha kuwa tume inakuwa huru kwa kuwa mpaka sasa tayari mahakama imeshatengua matokeo kwa mujibu wa sheria za mahakama”aliongeza Jaji Gabriel
Hataivyo alisema kuwa bado Mbunge huyo ana nafasi ya kukata rufaa kwenye ngazi za juu za mahakama endapo kama hataridhika na mnwenendo wa kesi pamoja na hukumu ambayo iliyotolewa ndani ya mahakama hiyo
kwa muda wa siku 30.
Naye Bw Lema alisema kuwa pamoja na kutenguliwa kwake kwa ubunge wa jimbo la Arusha mjini bado yeye ndiye ,mbunge na hata kama uchaguzi utarudiwa ni wazi kuwa yeye ndiye atakayeshinda ingawaje hizo ni Mbinu
za Viongozi wa juu Taifa la Tanzania (MAJINA TUNAYO)ambazo toka hapo awali alikuwa amezikataa.
Bw Lema aliongeza kuwa Mahakama kupitia kesi yake imeonesha wazi jinsi ambavyo wanavyobaka Demokrasia na suala hilo litawapeleka watu katika misitu bila kupenda na pia nchi itaingia katika machafuko.
Alifafanua kuwa mpaka sasa yeye ni jasiri wa hali ya juu sana na kwa hali hiyo atahakikisha kuwa anapambana kwa nguvu zote katika kutetea haki za wanyonge hata kama ametenguliwa ubunge wa Arusha Mjini.
“ninachoweza kusema ni kuwa nina moyo mkubwa sana kwani mimi nimepita katika mapito ya hali ya juu sana na pia aliyeniweka madarakani ni Mungu na wala sio hao viongozi wa ngazi za juu na ninapenda kuwatia
moyo kuwa hii hukumu ya kutengenezwa kama siyo ya kutengenezwa imekuwwaje kilakiongozi anajua hii hukumu kuanzia juzi na jana”alisema Bw Lema
Katika hatua nyingine Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Bw Freeman Mbowe alisema kuwa hiki ni kipindi kigumu sana kwao na pia ni kipindi cha mpito, pamoja na kuweka jazba pembeni badala yake
chama hicho kinatakiwa kuonesha dunia , mahakama jinsi haki inavyopatikana
Bw Mbowe alisema kuwa chama hicho hakiwezi kukataa ama kukuabali hukumu ya mahakama badala yake chama hicho kinalenga kutafuta haki siku ya Jumamosi katika viwanja vya NMC jijini hapa ambapo pia
watashahuriana kabla na kasha kutoa tamko.
“Mimi naheshimu sana mahakama kwa kuwa inataratibu zake za msingi na kwa hali hiyo nawasihi sana wananchi kuwa watulivu kwa siku hizi mbili mpaka jumamosi tutatoa hatma yetu kama tutakata rufaa au laa na baada
ya kushahuriana na viongozi na wanasheria wetu wa chama “aliongeza Bw Mbowe
Kwa upande wa walalamikaji,ambaye aliongea kwa niaba ya wenzake Bw Happy Kivuyo alisema kuwa mahakama imefanya uamuzi wa hali ya juu sana na imeonesha haki kwa kuwa Bw lema alikuwa anatoa lugha za matusi na
kuzalilisha sana
Bw Happy alisema kuwa wao walichokuwa wanakitaka ni haki na wala sio Ubunge kwa kuwa hilo litakuwa ni funmdisho hata kwa wagombea wengine ambao wanazalilisha watu kijinsia kwa madai kuwa wapo kwenye Kampeni
“Napenda niwaambie wakazi wa mji wa Arusha kuwa malalamiko yetu hayakuwa ya kuchonga ila yalikuwa ni ya msingi wa hali ya juu sana na kwa hali hiyo mahakama imefanya uamuzi wa hali ya juu sana”alisema Bw Happy
Hata hivyo mara baada ya hukumu hiyo shuguli za mahakama zilifungwa huku kila kona ya jiji ikilindwa na Polisi wa kuzuia vurugu,huku shuguli mbalimbali za maendeleo zikisimama kwa muda kutokana na wingi wa watu

Yaani Utawala wa nchi hii umefikia hatua ya kuwalazimisha wananchi wachukue hatua za kuleta machafuko nchini?
ReplyDeleteHoja ya Mahakama ni dhaifu sana! Mungu tuepushie yaliyotokea Libya.
Tukifika pabaya wakulaumiwa ni mmoja tu. CCM
Lema haamini macho yake kuwa sasa anarudi Mtaani kuendesha Bodaboda !
ReplyDeleteI am not an Attorney but I dare call this verdict a " KANGAROO JUSTICE FROM A KANGAROO COURT"
ReplyDeleteIn my view this should have been a libel case (defamation).
The nature and facts surrounding this case do not warrant overturning or even canceling Parliamentary post.
Nani alikwambia dunia hii ina haki? mwenye haki nimwenye nguvu,wengine wote tunaobaki yaani wanyonge a.k.a wakata majani haki zetu zpo kwa Mungu.
ReplyDeleteHa ha ha ha,
ReplyDeleteKumekucha, mnaona wakorofi picha ya pili kutoka juu wameanza wanajifanya wanacheza Rhumba halafu wanalianzisha?
Majeshi yasimamishe ziara ya matembezi Kiwanda cha Bia Dar yawahi Arusha wajinga wameshaanza ukorofi sasa!
mimi naishi arusha na kampeni za uchaguzi mkuu wakati ule nilizishuhudia kwa macho na masikio yangu ; kiufupi hazikuwa na maadili hata kidogo zilitawaliwa na udini ..kauli kama "mkimchagua Batilda(aliyekuwa mgombea wa ccm)ataifunga redio safina(redio ya kikristo hapa arusha)misikiti itajengwa kila kona hapa arusha,matusi ya nguoni kumtusi na kumdharirisha huyo mama na hayo maneno ya kashfa yalikuwepo hata siku ya majumuisho ya kura mengine hayafai kuandikwa humu kutokana na sababu za kimaadili ; mi nadhani chama husika wabadili namna ya ufanyaji kampeni zao maana hata ya arumeru mashariki ukiwa mfuasi wa ccm eneo hilo kipindi chote cha kampeni na hata uchaguzi ilikuwa ni kama umevishwa 'timed bomb' bila ya ridhaa yako vitisho na maneno yasiyo faa vilitawala na huko nadhani wanachama wa ccm watatumia fulsa yao ya kikatiba kwenda mahakamani kukata rufaa
ReplyDeleteKwa maoni yangu hoja za akina Lema dhidi ya maamuzi yaliyotolewa ni za kipuuzi!!!!! Anayo nafasi ya rufaa kwa vile alishindwa kwa hoja katika mahakama ya chini.
ReplyDeleteMdau wa kwanza hakuna Libya hapa wala nini.
ReplyDeleteCHADEMA muache kucheza na Serikali kwa sababu kuchezea Mamlaka ni sawan kupiga ngumi ukutani matokeo yake inawezeakana moja ya haya:
1.Utavunjika mkono
2.Utapasuka au kuchanika kifua
3.Moyo utasimama kwa mstuko
Mmenyang'anywa Ubunge kigezo kinaeleweka kutokana na Maelezo ya Hukumu iliyotoka Mahakamani, kaeni kimya msubiri Mbunge mpaya!
The third anoni above..if you are not an attorney then please shut up?? Let the learned speak! Go read the Elections Act and get back here....Dr. Batilda you have free advice from me...get Godii for slander now that the evidence is on record. AIKA SANA Bw Happy na wenzake..this is about the rule of law, nothing more nothing less.
ReplyDeleteKESI MSHASHINDWA MACHAFUKO MNALETA NYIE HAMRIDHIKI NA AMANI YA JIJI LA ARUSHA? TUMECHOKA FUJO ZENU!
ReplyDeleteJamani Tanzani amkeni.Mbona ccm huwa wanatukana.Hata kwenye youtube tunawaona.Au kwasababu huyo ni mpinzani.Hizo hela mgewaongezea madaktari mishahara,mjenge maabara katika mashule pamoja na maktaba.
ReplyDeleteSo tulikuwa hatuna mbunge tangu 2010 or ndo alikuwa yupi, even thou hata huyo mtilda hatumtaki now we can rule ourselves, Lema mwache atawale kwa miaka miwili then tutakupeni tu wana Chadema wetu
ReplyDeletehayo matusi aliyotukanwa inabidi uyathibitishe mahakamani siwezi kwenda mahakmani nikasema fulani kanitukana bila kuwa na uwezo wa kuthibitisha halafu pia lazima ueleze matusi hayo yalisababishaje wewe kushindwa?? kwa mfano unaweza kuleta tape au video kuthibitsha kauli yako lakini kwenye jaji kawaamini wahusika bila ya wao kuthibitisha.
ReplyDeleteMungu peke yake ndio demokrasia, mungu peke yake ndio muhasisi wa human right,lakini leo binadamu tumeona mungu na sheria zake zinamapungufu tukaanzisha za kwetu ndio mana kila kicha matatizo hayaishi,kila kicha tunazidi kuuana, Wenye kusititza demokrasia na human right ndio hao hao wa kwanza kuzivunja,ndio hao hao wenye kuzivamia nchi za watu na kusema viongozi wao si wahadirifu kwa wananchi wakati viongozi wale ni wahadirifu kuliko wao ni hao hao viongozi wanaotupatia misaada kwa masharti mazito kisha wanasema tuko huru, ni hao hao wanasema watu wanahaki ya kuishi mahala popote pale as long as wana haki na ile sehemu kisha watu wananyanganywa ardhi zao na hawafanyi chochote cha kuwasaidia ingawa wanaweza kuwasaidia si hayo tu na mengi zaidi mbona hawasemi kwa kuwa binadamu wote ni sawa lazima tutumia currency mmoja,mbona hawasemi kama tajiri hakijenga ghorofa lazima hajenge ghorofa lengine kama lile kwa maskini kama kweli sote tuko sawa,utu umepotea binadamu si binadamu hakuna haki wala demokrasia. Achana na politics bana lema wewe unasema umuamini iyo pekee inatosha kuwaletea wananchi wako maendeleo makubwa kuliko hata kwenda bungeni.
ReplyDeleteCHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA JUUUUUUUUU!!!!!!
ReplyDeleteWala tusihangaike!
ReplyDeleteMamlaka zimekuwa makini sana ktk kutoa Hukumu ya kesi hii.
Jamaa maelalamikiwa kuwa na lugha chafu hiyo ni moja na pia kwa kuwa Mahakama na Mamlaka zipo makini watakuwa wameunganisha na vigezo vingine kutoka ktk 'Mafaili ya ziada' yanayomhusu Lema ambayo wewe na mimi hatuyajui na hivyo kupelekea kuwa Godbless Lema hana sifa za kuwa Mbunge ndio ikawa kigezo cha Hukumu !
Mkiambiwa C.C.M ni Dume mnabisha.
ReplyDelete'Mtambo wa C.C.M' umezama hadi ndani kabisa kwenye maini kupitia katikati ya vidole viwili 'V' vya Chadema !
Mtaweza kuuchomoa Mtambo?
Kazi kwenu !
Ohhh Mungu saidia mji wa Arusha sasa ilikuwa hatulali, hatufanyi kazi, kila kukicha maandamano, maandamano, hebu nenda zako Lema hatukutaki ulitumia hila kama MAHAKAMA ilivyosema...Dadadeki oooh watu walijua hukumu kabla ya kutolewa mbona hamkusema pale zilipoenea habari kwamba mlichanga fedha pale Naura springs ili mhonge ili matokeo yabaki hivyo hivyo, leo watu walikaa mkao wa kula kusubiri matokeo mnadai yalipwangwa...Na mchukue na hili tena tuone NANYA HAHARANI KAMA MTASHINDA TENA.
ReplyDeleteCCM wamevizia matokeo yametoka Arumeru wakatoa hukumu maana na wao kama wangeshinda kibano kingewaangukia kwa jinsi yule dogo Lusinde alivyokuwa anatoa matusi
ReplyDeleteMUAMKO WA SIASA ZA JAZBA ARUSHA:
ReplyDeleteNimejaribu kufanya uchunguzi na kufuatilia mwenendo kwa vipindi tofauti kwa watu wa Arusha kwa data analysis za kutosha na kutumia uainishaji wa kiuchumi nikaona hivi:
1.Tatizo la ajira lizingatiwe pia, kwa vile hawa jamaa wamekuwa wakijishughulisha na kazi kubwa mbili (2) Uchimbaji wa Madini, Shughuli za Sekta ya Utalii.
Sasa ukiangalia kwa undani pana anguko kubwa ktk masuala ya kiuchumi ukianzia Dunia nzima pia pana mabadiliko ya muudno wa maisha ktk jamii zetu.
1.Sekta ya Utalii imeathiriwa kiasi kikubwa na mtikisiko wa KIfedha na Kiuchumi Duniani na sasa idadi ya Watalii imeshuka ukilinganisha na kipindi cha nyuma.
2.Sekta ya Madini, tokea mwaka 2000 au 2001 mabadiliko yalitokea ktk umiliki wa shughuli za Madini kwa Wachimbaji wadogo wadogo kusimamishwa na Umiliki ukapewa Makampuni ya Wawekezaji wa Afrika na Kusini na nchi zingine Duniani.
HIVYO BASI, HII ARI NA MWAMKO WA SIASA ZA WATU WA ARUSHA UNAWEZA UKAAKISIWA KWA KIASI KIKUBWA NA SUALA LA KUPOROMOKA KIUCHUMI AMA MABADILIKO YA KIJAMII (KAMA NILIVYOELEZA HAPO JUU) KTK SEKTA YA KUENDESHA MAISHA.
SIASA HUENDESHWA KWA KUZINGATIA MAFUNZO YA KIITIKADI KAMA ILIVYOKUWA IKIFANYA TANU NA C.C.M TOFAUTI NA VYAMA VYA KISASA HAVITOI MAFUNZO YA KIITIKADI HATA KWA MAKADA WA VYAMA.
HIVYO BASI HUWEZI KUPATA MWANASIASA ALIYEWIVA VIZURI KIITIKADI NA ANAEFUATA TARATIBU AMBAYE AMETOKEA MGODINI AU MSITUNI KUPELEKA WATALII!....(HAWA NDIO CHADEMA WENYEWE SASA)
Freeman Mbowe anawa lostisha watu wa Arusha.!
ReplyDeleteYeye anakaa Dar Es Salaam anaendesha shughuli zake anapata fedha za kutosha kutoka kwenye Bar yake Billicanas, anasafiri anakwenda Arusha anapanga vurugu na maandamano watu wanakosa pesa wanafukuzana na Polisi kutwa na kuitwa Mahakamani kwa kesi Arusha, yeye nyuma Dar anaacha wasimamizi wa kazi fedha zinaingia biashara zinaendelea.
Mbowe anajua kabisa kuwa Dar Es Salaam hata hapo maeneo ya Bar yake Billicanas kwa Wajanja na Azam 5 ways corner kwa Wasanii Jijini na 'Wakulima wa Mujini' hakuna fala wa kumpata ukamshawishi aache kutafuta fedha afannye maandamano na vurugu.
Ahhh, Arusha mpo hapo?
Zindukeni !
My fellow learned brother/sister, That is why we have different types of courts in our country! they new some people will try misinterpret the laws so that they favour their 'beloved' clients
ReplyDelete