Wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto wakijaribu kuzima moto uliozuka na kuteketeza maduka ya bidhaa mbalimbali ikiwemo nguo yaliyopo kwenye mtaa maarufu kwa jina la Chini ya Mti jijini Arusha jioni ya leo.
Baadhi ya Watu wakishuhudia tukio hilo.
Moja ya maduka likiteketea kwa moto.
Baadhi ya watu wakijaribu kuokoa vitu mbalimbali kwenye moja ya duka hili.
Baadhi ya maduka mara baada ya bidhaa zake kuokolewa. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii.







Jamani watu wa fire...muwe mnafika ontime pliz
ReplyDeletemh! CHADEMA washafanya vitu vyao tayari
ReplyDeleteMhhhhhhh! km Mbeya mjini au co? Hahahahahaha!!!!!! km hii inamkono wa siasa bs nadhani co poa kbs.
ReplyDeleteajali ni ajali asee,,,,lakini zima moto ebu,,,,,jaribuni kufanya kazi bwana,,,,acheni uzembe,,,,,,,
ReplyDelete