Wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto wakijaribu kuzima moto uliozuka na kuteketeza maduka ya bidhaa mbalimbali ikiwemo nguo yaliyopo kwenye mtaa maarufu kwa jina la Chini ya Mti jijini Arusha jioni ya leo.
Baadhi ya Watu wakishuhudia tukio hilo.
 Moja ya maduka likiteketea kwa moto.
 Baadhi ya watu wakijaribu kuokoa vitu mbalimbali kwenye moja ya duka hili.
Baadhi ya maduka  mara baada ya bidhaa zake kuokolewa. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani watu wa fire...muwe mnafika ontime pliz

    ReplyDelete
  2. mh! CHADEMA washafanya vitu vyao tayari

    ReplyDelete
  3. Mhhhhhhh! km Mbeya mjini au co? Hahahahahaha!!!!!! km hii inamkono wa siasa bs nadhani co poa kbs.

    ReplyDelete
  4. ajali ni ajali asee,,,,lakini zima moto ebu,,,,,jaribuni kufanya kazi bwana,,,,acheni uzembe,,,,,,,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...