Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu,Marehemu Harun Mahundi aliyefariki Dunia april 5, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es salaam. Hapo ni nyumbani kwa marehemu Mikocheni barabara ya Rose Garden,jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo na kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.

KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera mh. Kikwete kwa kutokuonyesha ubaguzi na dharau kwa wasanii hii hakika inaonyesha jinsi ulivyo mtu wa watanzania bila kujali tofauti zao

    ReplyDelete
  2. kama ungekuwa ni uamuzi wangu peke yangu ningekupa mheshimiwa nchi hiyo uongoze mpaka utakaposema inatosha, mungu akuzidishe na awajaze kila la kheri wewe na wanachi wako.

    ReplyDelete
  3. Ahsante Kiongozi JK kwa kutushika mkono na kutupa mkono wa pole,,,Ndivyo ilivyo, yanapotokea, inachukua muda kuzoea na kuelewa kuwa Kanumba hayupo nasi tena, kifo cha Huyu Kijana Msanii wa Sinema kiwegusa wanachi wengi sana !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...