Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi kushiriki katika zoezi ya upigaji wa picha za vitambulisho vya Taifa, sambamba na utiaji saini fomu maalum na kuweka alama za vidole,ikiwa ni utaratibu wa ukamilishaji wa zoezi hilo. Aliyesimama kuwaelekeza ni Mkurugenzi wa Vitambulisho
vya Taifa Zanzibar Bw,Vuai Mussa Suleiman
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) akiweka alama za vidole,baada ya kupiga picha za vitambulisho vya Taifa,sambamba utiaji saini fomu za ukamilishaji wa zoezi hilo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa Zanzibar Bw. Vuai Mussa Suleiman, na kulia ni Bw Mathayo Sungu wa NIDA.
Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...