Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule  ya Msingi ya   Eckernforde  ya Tanga kwenye  viwanja vya Bunge Mjini Dodoma , Aprili 23, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na  wanafunzi wa shule ya Msingi ya Eckernforde ya Tanga kwenye viwanja  vya Bunge Mjini Dodoma  Aprili 23, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwenye viwanja vya Bunge  Mjini Dodoma, Aprili 23,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo


SOMA HOTUBA KAMILI YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA YA KUAHIRISHA BUNGE
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hawa watoto wa shule za msingi wa sasa wanaimba nyimbo hizi kweli??

    1:Paulo usije kucheza na mimi una likono michafu.....

    2:Eeeeh Yakobo..eeeh Yakobo...walala(X2)..amka twende shule amka(2) haya njoo(X2).Ilikuwa burudani

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...