TAREHE
SIKU/SAA
TUKIO
MAHALI
8/04/2012
na
9/04/2012
Jumapili
Na
Jumatatu
Wabunge kuelekea Dodoma
Kutoka Dar es Salaam na sehemu mbalimbali
10/04/2012


Jumanne
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.


Saa 7-11 Jioni

·         Kikao cha Briefing cha Wabunge wote.
·         Vikao vya Kamati za vyama vya siasa. vitafanyika mara baada ya Kikao cha Briefing.
11/04/2012
Jumatano
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Biashara wa Mwaka 2011. [The Business Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2011].
12/04/2012


Alhamisi







Saa 7.00-9.00
·         Kiapo cha Utii kwa Wabunge wapya.
·         Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu.
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Muswada wa Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania wa Mwaka 2011 [The Tanzania Livestock Research Institute Act, 2011].
·         Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi.

13/04/2012
Ijumaa
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2012 [The Social Security Laws (Amendments) Act, 2012 (No.2) Act, 2011.

14/04/2012
Jumamosi 
·         Semina kuhusu Anuani za Makazi na Simbo za Posta pamoja na mabadiliko ya Teknolojia ya utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali.

15/04/2012
Jumapili

MAPUMZIKO
16/04/2012
Jumatatu
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Muswada wa Sheria ya Marekebisho wa  Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2011 [The   Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2011] .
17/04/2012
Jumanne
·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Uchaguzi wa Wabunge wa EALA.
·         Taarifa za Kamati za Bunge zinazosimamia Fedha za Umma.
18/04/2012


Jumatano


·         Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Taarifa za Kamati za Bunge zinazosimamia Fedha za Umma.
19/04/2012
Alhamisi
·         Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu.
·         Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·         Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/zisizo za Kisekta.
20/04/2012

Ijumaa


·        Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/ zisizo za Kisekta.
21/04/2012
Jumamosi
·        Kamati ya MIPANGO.
22/04/2012
Jumapili
·         MAPUMZIKO
23/04/2012
Jumatatu
·        Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Kamati ya MIPANGO.
24/04/2012
Jumanne
·        Kipindi cha Maswali ya Bunge.
·         Taarifa ya Serikali ya utekelezaji wa Maazimio ya Kamati Teule ya Bunge.
·         Hoja Binafsi za Wabunge.

·        HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. What is the allowance for 10 days - 2 million. Not a bad job!!!!Even weekends included - hao ni wachapakazi kweli - would be good to see the outcome of such unnecessary gatherings.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...