Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mh Said Mwambungu akitoa zawadi ya mipira kwa mwenyekiti wa timu ya soka ya Mandera vetarani ya Songea wakati wa uzinduzi wa bonanza lililofanyika leo katika uwanja wa shule ya msingi Sokoine,Bombambili Songea
Mh Saidi Mwambungu akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mandera Veterani A ya Bombambili Songea.Timu hiyo iliibuka msindi kwa kuwafunga Mandera. Picha na Revocatus A.Kassimba wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...