Habari wadau,
Naomba muisome kwa makini, ambao hamjafika umri wa miaka 30 mjaze kuomba hiyo nafasi, mwisho ni Ijumaa wiki hii. Ni rahisi sana namna ya kutuma wewe nenda mahali palipoandikwa Click here for more details. Ukibofya hapo mambo yatakuja. Ni muhimu sana hasa kwa waandishi chipukizi au wale ambao pasipoti zenu hazijazioneshi umri wa zaidi ya miaka 30.
Nawasilisha.
Amir Mhando
Katibu TASWA
Dear Colleagues,

Six young Reporters will have a chance to cover the Women’s Olympic Volleyball Qualifying tournament in Ankara, Turkey thanks to a joint programme organised by AIPS Europe and the Confédération Européenne de Volleyball.
Interested journalists are expected to send in their applications by Friday April 13, ahead of the tournament in May 2012.
Click here for more details on the application process and the programme.
Best wishes,
AIPS Media

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...