Viongozi Mbali mbali wa Dini na Serikali wakiwa wakiwa mbele ya jeneza lenye mwili wa Marehemu Steven Charles Kanumba kwenye Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu mwanae muda mfupi kabda ya jeneza kushushwa.
Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu mwanae muda mfupi kabda ya jeneza kushushwa.
Mwili wa Marehemu Kanumba ukiteremshwa kaburini.
Gari maalum lililokuwa limebeba Mwili wa Marehemu Kanumba likiwa limezongwa na wananchi ambao walikuwa wakitaka kushuhudia mwili wake.
yaani ni tafrani tupu makaburini hapa.
Baadhi yaa Waombolezaji wa msiba wa Steven Charles Kanumba wakiwasili kwenye Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam mchana huu kwa tendo la kuuhifadhi mwili wa Marehemu katika nyumba yake ya Milele.
Eneo litakalowekwa jeneza lenye mwili wa Marehemu Steven Kanumba kwa ajili ya kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,mchana huu.
Mwili ukiwasili kwenye Makaburi ya Kinondoni.
Jeneza Lenye Mwili wa Marehemu Steven Charles Kanumba ukiingizwa kaburini.
Mama Mzazi wa Marehemu Steven Charles Kanumba akiwasili Makaburini huku akiwa ameambatana na Dada Asha Baraka.










AMA KWELI TUNAPITA HUMU DUNIANI MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI KANUMBA MDOGO WANGU LOOO NI VIGUMU KUAMINI LAKINI NDIO MAPENZI YA MUNGU, MPAKA WATOTO WADOGO WANAKUJUA YANI SIWEZI HATA KUONGEA IMENIUMA SANAAAAAAAA ME NA FAMILIA YANGU, MUNGU AKUPOKEE HUKO MBINGUNI NA MALAIKA WAKE HAKIKA AMESHAKUSAMEHE MAKOSA YAKO. AMINA
ReplyDeleteMama mzazi wa Kanumba pole sana mama mzazi uchungu ulionao Mungu ndiye anajua.Mungu amlaze mwanao pahali pema peponi Ameni.
ReplyDeleter.i.p steven.
ReplyDeletemzee kanumba kaniacha hoi
KAMA WALIJUA MAZISHI YANGEKUWA HIVI KWA NINI HAYAKUFANYIKIA UWANJA WA TAIFA? KAKA MICHUZI TUPE HABARI ZA DADA YETU ELIZABETH MICHAEL LULU. HALI YA BINTI YETU INAENDELEAJE? HUYO BINTI MSHAURI AINGIE KWENYE BLOG ATAFUTE MUME AOLEWE MAANA MAISHA KAYA HALIBU MWENYEWE MAPEMA AKIWA BADO BINTI MREMBO NA MDOGO. CAREER KAIHALIBU KABISA NA AMEPOTEZA TRUST YA WENGI. SIDHANI KAMA KIUKWELI YEYE BINAFSI KAMWUA KANUMBA SI KWELI LAKINI JAMII HAITAKI HATA KUSIKILIZA HER SIDE OF STORY SASA CHA MSINGI AKITOKA ATAFUTE MCHUMBA NA AACHANE NA TABIA YA KULUKALUKA AANZE MAISHA SASA. HUU NI USHAURI WANGU. KIUKWELI LAST TIME NIMEONA MAZISHI KAMA HAYA NI PALE NYERERE NA KAWAWA WALIPO KUFA LONGTIME. LULU AMETOKA JELA? WAMWACHIE HUYO MTOTO HAJAMWUA KANUMBA IT DOESN'T MAKE SENSE AT ALL.
ReplyDeleteNiwapongeze wakazi wa Dar es salaam hususan vijana kwa ujasiri wao na mapenzi makubwa walioyaonyesha kwa kujitokeza kwa wingi kabisa kumpa heshima stahili za mwisho Shujaa wao Steven Kanumba!Moja nimejifunza kwamba Siasa sio kila kitu katika maisha!Wapo waliojaribu kuitumia fursa hiyo "kujionyesha",lakini vijana wamedhihirisha kwamba kifo cha Kanumba kimekuwa pigo kubwa sana kwao,vijana na wapenda filamu wote nchini.Katika mazingira ya ukosefu wa ajira uliokithiri nchini,Kanumba ameonesha njia kwamba,bado inawezekana kujipa ajira wewe mwenyewe pindi ukiamua kufanya hivyo kwa jitihada binafsi kukitumia kipaji chako na kukiendeleza!Kikwazo cha elimu kisiwapumbaze vijana wetu.Sanaa zipo nyingi,kuanzia filamu,muziki,riadha,ubunifu na mitindo ya mavazi,urembo,lugha ya kiswahili kimataifa,ucheshi na uchekeshaji,mapishi,ususi,uhunzi,uandishi wa habari,nk nk,kila mmoja aonyesha uhodari wake kulingana na kipaji chake,inawezekana watanzania,Kanumba katuonyesha njia!Tujenge utamadni wa kuwazika kwa heshima zote stahili watanzania wote walio onyesha umahiri wao katika fani zao,bila kubagua taaluma,na sio lazima wawe wanasiasa kama ilivyopotoshwa na baadhi ya watu!Mshikamano huo uendelezwe ili kuimarisha zaidi Utaifa wetu kwa faida ya vizazi vijavyo!Nawashukuru sana wote waliojitokeza kumsindikiza ndugu na shujaa wetu Steven Kanumba,mwenyezi Mungu awabariki nyote!
ReplyDeleteKwa maoni yangu baada ya kusikia ripoti ya madaktari,basi tutafanyaje,hii ilikuwa ajali na bahati mbaya sana kutokea!Yameshatokea,sio haki na busara tena kumsulubu mtoto Lulu,yaliyomfika yanatosha,sidhani kama atarudia tena!Vijana wapate fundisho kwa Simu za Mikononi ni nzuri na muhimu kwa maisha ya sasa,lakini zinaweza kuwa Hatari zaidi kuliko hata Bastora! Zisipotumika vizuri ipasavyo,simu za mkononi zinaweza kuleta madhara makubwa sana yasiokusudiwa!Wasichana waache ulimbukeni wa kuyaweka wazi mahusiano yao yote ya pembeni katika simu zao za mikononi na wakati huo huo wakiwa na mahusiano mazito na Waja Wao!Mara nyingine kuhoji simu sio kwasababu za wivu wa kimapenzi,bali ni kujihami na kujihakikishia Usalama wa mhusika!Yote haya tuyaache,ndivyo ilivyopangwa na Muweza,sote tumechelewa,hakuna aliyeweza kuyazuia yasitokee!Maisha ya Binadamu ndivyo yalivyo,yakikukuta,utahisi kila kila jambo baya kwako,wapi,ni mipango ya Mungu tu katika kutuweka sawa!
ReplyDeletelulu haja mwua kanumba kama alitaka kumpiga ama kumlazimisha akubali alikuwa ana ongea na mwanaume na marehemu alikuwa ana lazimisha kuona simu basi lulu kumsukuma siyo kosa na kanumba kuangukia kisogo ni bahati mbaya. lakini tuangalie kanumba ni mtu mkubwa kimaumbile ukilinganisha na lulu. so hii ni self defense na ni bahati mbaya tumempoteza kanumba siyo kwamba ameuawa na lulu.
ReplyDeleteTanzania has lost a rising film star at a young age. We will be left wondering about his potential had he lived.
ReplyDeleteREST IN ETERNAL PEACE STEVEN KANUMBA!
mimi mpaka naogopa kuwa star celebrity yaani angalia michael jackson pepe kalle whitney houston steven kanumba lucky dube bob marley marvin gaye na wengine wengi kwa nini vifo vyao siyo vya kawaida kama wengine wanakufa mapema na vifo vyao ni kushitkiza tu, wakiwa bado vijana kabisa tena vya utata utata tu. nakubaliana na mdau hapo juu Lulu michael hajamwua ni bahati mbaya tu amekuwa scap goat tu. kanumba kajigonga kichwa baada ya kuweweseka alipo taka kuchukua simu ya mpenzi wake na lulu kum push asimnyanganye simu kanumba kayumba na ukumbuke tayari alikuwa kamaliza tendo la ndoa na amekunywa whisky. hii combination inakuvunja nguvu kabisa ya kujihami ukidondoka chini.kwa hiyo mimi naona ni bahati mbaya na hasira tendo la ndoa whisky vimechangia. hakuna cha kufanya lakini lulu sasa utulie acha tabia ya kutaka kila corner tafuta bwana tulia nyumbani huo usupa star unaoutafuta hata siuoni. angalia all this mess sasa? olewa utulizane kama unapenda mapenzi acha kupenda huku na kule.nasema huja mwua kanumba lakini tulizana kaa nyumbani kama ni hizo senema cheza na achana na kulukaluka. mimi ni mdau kutoka Norway. nasomea psychologia ya binadamu na wanyama( human and animal psychology)
ReplyDeleteDAA! KWELI MDAU WA NORWAY UMESOMA SAIKOLOJIA YA WANYAMA SIDHANI NI SAIKOLOJIA YA BINADAMU LO!
ReplyDeleteMichuzi Kama Lulu alikuwa ni mpenzi wake kwa nini hajaletwa aage mpenzi wake hata kama wali gombana chumbani wangempa chance ya kumwaga hata mwona tena. kwani imesithibitishwa yeye ndiyo kaua? kama bado basi is innocent until proved guilt sawa?
ReplyDeletemajitu mengine sijui akili zao wapi wewe mtoa mada wa norway nini sasa unaongea humu ndani?
ReplyDeleteWADAU NAHULIZA HIVI....!
ReplyDeletembona bendera haipepehi nusu mulingoti? MICHUZI SOLLY FOR WASTING GREAT FRIENDS STIVIN KANUMBA, HE WERE A GOOD MAN AND GOD BLESSED HIM. MIMI PETER NALITOLELA
RIP KANUMBA,POLENI NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA WATANZANIA WOTE. MICHUZI PLEASE FUATILIA HABARI YA HUYO BINTI ALIYE MIKONONI MWA POLISI. MPAKA SASA NILIVYOSOMA JUU JUU HUYO BINTI HAJAMUA MPENZI WAKE. BADO NAJARIBU KUFIKIRIA NI JINSI GANI MAPROSECUTOR WATAKAVYOTENGENEZA USHAHIDI WA KUMFANYA 'LULU' AS A SCAPEGOAT. LETS FACE THE FACT, THE GIRL IS ONE OF TALLENT WE HAVE IN MOVIE INDUSTRY.TUMEMPOTEZA 'THE GREAT' WE CAN NOT AFFORD TO LOSE THE FRUIT HE LEFT BEHIND FOR US. SHE NEED TO BE OUT, GET PSYCHOLOGICAL HELP AND MOVE ON WITH HER CAREER.TANZANIAN NEED TO THINK DEEPER, IT CAN HAPPEN TO ANY ONE YOUR SISTER, YOUR MOTHER, YOUR GOOD FRIEND OR MAY BE YOU! WHO KNOWS BESIDES GOD WHO WAS A THIRD WITNESS BEHIND THAT CLOSED DOOR. GOD BLESS US ALL.
ReplyDeleteWewe mdau uliyesema eti Lulu angekuja kumuaga Kanumba, unadhani wale watu wamekuja kumwaaga kanumba kwa furaha mbona wangemuua nayeye hapo hapo, wale usiwaone vile wanauchungu sana na kanumba hivi pale walikuwa wanaomba kanumba angefufuka ili waendelee naye sasa atokee aliye muua nakuambia wangemla nyama bichi palepale.
ReplyDeletesasa jamani mbona mzee kanumba (yaani Baba yake kanumba hajaoneshwa msibani?)
ReplyDeleteRest in peace our beloved brother STEVEN KANUMBA,BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE AMINA...........
ReplyDeleteMapenzi na Mademu wamekuwa ni 'SUMU KALI KWA SASA' Wajanja wanajua hili.
ReplyDeleteKWA WAJANJA WA MAISHA YAMEBAKI MAMBO MAKUBWA MATATU (3) TU:
1.Kutafuta fedha na kuzitumia wenyewe na watu wa karibu kama wazazi na ndugu.
2.Kuachana na hulka ya Mademu badala yake 'Kujichua' hadi muda wa Kuoa kihalali kwa kumpata mke aliyetulia na mwenye dira na mwelekeo wa maisha anayejitambua.
3.Kusali na kudumisha Ibada zaidi.
BADALA YA KUJIHUSISHA NA MADEMU MICHARUKO AMBAO WANAKATISHA MAISHA WATU WAKIWA WANGALI VIJANA WABICHI NA MAFANIKIO YAO !
Mdau Norway kama ulikua huna cha kuandika ungeacha... ulikuwepo??
ReplyDeleteNa wewe mdau ulietaka Lulu aende pale unadhani usalama wake ungekuwaje? Ule umati pale ulikuwa unaimba 'tulidhani shemeji kumbe muuaji' unadhani wangemuachia??
RIP Steven
Wacha kitu kupenda! ndugu, "ndege mjanja huingia katika tundu bovu". Hebu turudi nyuma tujiangalie nasisi mienendo yetu, tusihukumu tuu. kilichopo sasa tujisahihishe kama nasi tuna makosa fulani fulani katika chaguzi zetu.
ReplyDeleteR.I.P the great kanumba.. tulikupenda ila mwenyezi alikupenda zaidi kaka. Sukran za dhati zije kwetu watanzania kwa mioyo yetu ya upendo, ni dhairi imejionyesha hapo jana.. Jamani ndugu zangu vijana swala la nipo nipo kiukweli sio zuri kabisa unapo pata uwakika wa ugari dagaa plz vuta jiko ( tafuta mke) maana unapokuwa na mke kuna baadhi ya mambo utakuwa uchukulii juu juu, mbili, unakuwa na familia yaani unamtoto wako au watoto yaaani safiiiiiiiiiiiiii duniani tena raha uwe unaishi ndani ya ndoa daaah raha sana..... sasa wewe sema upo upo leo hapa kesho kule yaaani ni hatari jaman ndugu zangu!!!!!!!!!!!. nimeoa ndoa ya kikristo (romani katoliki) nikiwa na miaka 24 mke wangu 20 now nina mtoto anaanza kutembea yaaani raha sanaaaaaaaaa jaman amkeni tafadhali..... ndugu yetu kaongoka bila mke wala mtoto na kitendo cha kuwekana na lulu kinyumba ni dhambi na dhambi mshahara wake ni mauti..... amkeni ndugu zangu. kizazi jeuri... mtoto wa karne..... dat wassup.... wherever..... nicall man.........................ooohooo mama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteThe law will decide,don't judge by assumption.Both we were not aware since they were only two inside da room the great late Kanumba and Katoto lulu....R.I.P JEMBE DUDE
ReplyDeleteHakika mapenzi ya Mungu yatimie, Kanumba ni watu wa rika lote walikupenda, ila Mungu alikupenda zaidi ndiyo maana kakuchukua akituacha tukiwa hatuna cha kufanya. Jina la Bwana libarikiwe.
ReplyDeleteMwenyezi mungu amtie nguvu mama yake ampe roho ya subira. Mungu alitoa, na Mungu ametwaa jina lake libarikiwe. Amen.
Vera
Jamani mdau wa norway amesema anasomea human and animal psychology kuna mtu anakazania wanyama.mdau anasomea tabia za binadamu na wanyama.halafu lulu kupelekwa ni ngumu kwa ajili ya usalama wake. Nnajisikia vibaya sana kwa kifo cha kanuba nikitoka au kurudi home njia yangu ni ya pale offisini kwakwe nikiwa na mtoto wangu akiona lexus ya kanumba anesema mummy kanuba yule.hapo kaona gari tu.mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.mbele yake nyuma yetu japo inatuuma tukirudi nyuma tukumbuke kifo kimeumbwa na kila mtu ataenda katika njia hii ya mauti muda utakapo wadia.i wish kama agepewa hata dak kumi aone umati wa watu ulivyo jitokeza na kulia kwa ajili yake nadhani asingeamini.watu wanaongea mengi wengine alienda maisha club.wengine club sansiro,mdogo mtu anasema marehemu hakutoka siku hiyo bali ndio alikuwa anajiandaa kutoka.kwakweli mungu ndio anajua maana inatuchanganya.na huyu lulu kwa kweli nna mhurumia maana sisi sote ni bina damu lilimpata haku litarajia ndio jumba bovu limesha mdondokea.umri wake mdogo na kesi ya mauaji mmh mtihani.
ReplyDeleteR.I.P HOME BOY STEVEN CHARLS KANUMBA
ReplyDeleteje ukitaka kutuma rambi rambi kwa family ya Kanumba unata kwa e mail gani au namba gani ya simu?
ReplyDelete