Ile kauli mbiu inayosema kwamba "Palipo na Shimo,Panda Mti na Umwagilie" leo imetoweka ghafla katika eneo hili,kwani Kamera ya Globu ya Jamii imepita tena leo katika lile eneo la barabara iliyokuwa imepandwa Mti na kukuta mti huo umeng'olewa na badala yake kumezungushiwa utepe kuashiria kwamba kuna uzinduzi kip left mpya utakaofanyika eneo hilo.Bado haijafahamika kuwa ni nani atakuja kufanya uzinduzi huo.
Home
Unlabelled
Shimo la barabarani lililopandwa mti,leo lazungushiwa utepe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Too funny:)
ReplyDeleteUS Blogger
hahaha mdau aliyetuma post amenifurahishaila wanaonekana wanasoma hizi post na kuact
ReplyDelete