Msanii wa muziki wa injili, Rose Muhando akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kutumbuiza katika Tamasha la Pasaka linaloendelea sasa. Sehemu ya watu wakishuhudia Tamasha la Pasaka, Msanii Tumain John akifanya vitu vyake katika tamasha la Pasaka Mwalyambi kutoka Sumbawanga, akionesha manjonjo yake katika tamasha hili la kukata na shoka Msanii wa Muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope (katikati), akiwa upande wa vyombo vya muziki kuweka mambo sawa muda mfupi kabla ya kupanda jukwaani. Kundi la msanii John Lisu likitumbuiza Ni furaha tele kwa kila mtu. PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA
Home
Unlabelled
Tamasha la Pasaka Uwamja wa Taifa Jijini Dar jioni hii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
asante sana kwa kutuonesha ambao hatujafanikiwa kufika uwanjani for real watu wameenjoy sana, shukurani tere kwa waandaji wa tamasha hili
ReplyDeleteMungu tumuache awe Mungu, tamasha limefana na hakuna vurugu wala virungu vya polisi,naomba huu mfano wote tuuige .Zebedayo
ReplyDeleteHii blog kwa kweli ni blog ya kila mtu na dini zote. Naipenda na nitaendela kuipenda. Thanx, bro Michuzi.
ReplyDelete