Mkurugenzi wa Tanzania Mitindo House Khadija Mwanamboka (wa pili kulia) akiwa na wabunifu mitindo wenzie aliowaalika katika hafla fupi ya kusherehekea Miaka Mitano ya taasisi hiyo usiku wa kuamkia leo. TMH inajihusisha na mambo ya mitindo pamoja na kulea watoto yatima. Hafla hiyo iliambatana na uzinduzi wa ofisi mpya za TMH iliyopo Msasani Village karibu na ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam
Khadija Mwanamboka akipozi na baadhi ya wageni wake
Furaha ya kutimiza miaka mitano
Wadau wa TMH
Keptein Gadna G Habash ndani ya nyumba
Keki ikakatwa



TMH Mje Moshi hapa eneo la posta pana watoto wako katika mazingira hatarishi - ama ni yatima ama vp- NGO hapa hazijawaona mje nyie mfanye kitu tofauti - kila siku Dar dar dar dar - hata huku mikoani kuna haja mje - kuna mitindo na hizo shuhuli nyenginewe pia! This time fanyni kitu tofauti na wengi!
ReplyDeleteTMH hongera kwa kutimiza miaka 5:
ReplyDeleteSasa ila hiyo kutoa picha ya mkata keki huku kichwa kikiwa kimekatwa ndio adabu gani?
Ina maana mkata keki hakustahili?
Kwa nini asikate huyo anaestahili?