Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu Huduma za Jamii wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Robert Charles (kulia) mfano wahundi yenye thamani ya sh. mil. 100 za kusaidia ujenzi wa majengo mapya ya Chuo Kikuu cha Tumaini, Dar es Salaam. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ni Mkuu wa chuo hicho kamapasi ya Dar es Salaam,Profesa Geofrey Mmari.
Mkuu wa Kikuu cha Tumaini, Kampasi ya Dar es Salaam, Profesa, Profesa Geoffrey Mmari (katikati) akielezea mikakati ya ujenzi wa majengo mapya ya chuo hicho. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo ambayo imetoa msaada wa sh. milioni 100 za kusaidia ujenzi wa majengo hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ushauri wa ujenzi wa majengo hayo,Nosuto Associated, Thomas Kalugula akielezea jinsi ujenzi wa majengo hayo utakavyofanyika.
Baadhi ya wakufunzi na wafanyakazi wa chuo hicho.
Michoro ya Majengo hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...