TTCL’s CEO Mr. Said Amir Said (left) and the Head of Information and Communication Technology department at the Rwanda Development Board (RDB) Patrick Nyirishema signing the contract.
TTCL’s Chief Executive Officer Mr. Said Amir Said speaking with Journalist in Rwanda after signings business Contract.
TTCL’s Chief Marketing and Sales Officer Mr. Ernest Nangi (Left), TTCL’s Company Secretary Mrs. Gilder Kibola and Head Products Development Mr. Ernest Isaya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. even me i can pay!..just 6.7 us dollars . please be serious is it 6.7 million us dollars or just 6.7?

    ReplyDelete
  2. haya ndio mambo tuanataka kusikia ,sio blah blah tufanye kazi nchi yetu iko sehemu nzuri sana Kijiografia .....ICT industry ni future kwenye kila nyanja ya ,afya,uchumi ,kilimo etc mjipange mpanue na soko la ndani hawa wa mitandao ya simu wanatumaliza na bei zao mbofumbofu .

    big up TTCL,
    Tanzania na iende mbele
    Mdau

    ReplyDelete
  3. dola 6.7 tu?ni milioni ama?

    ReplyDelete
  4. Now we have to be serious when we got a call to support. Maana mnatumia wiki au zaidi kutatua matatizo ya mtandao.

    ReplyDelete
  5. Ni kuwashukuru hawa Watu wa Rwanda,hawakutaka pesa ziende kwenye mikono ya Mabepari..'Wanatuunga' kweli hawa jamaa.Wanatumia Bandari zetu(ikiwamo na Isaka),barabara,n.k ni wa kushikilia vizuri kama yai.Yai ukilishika vibaya likakuponyoka..jibu unalo

    David V

    ReplyDelete
  6. Ankal 6.7 USD only that!!!! is this a story. Hope it is 6.7milion USD

    ReplyDelete
  7. also...is it "to supply only 1.2xx GigaByt or something more than that...it must more GB in millions i think..

    ReplyDelete
  8. David wewemsomi bwana , sasa tena unaunga mkono jambo lisilo na miguu wala mikono, jiulizeni jamani,huyo TTCL biashara ya ndani mwa nchi imemshinda, internet zake slow kichizi,halafu ukienda kulalamika trouble shooter anakuja baada ya siku 3 tena hapo kawahi. Sasa huyo Kagame ujinga huu hatauvumilia hata wiki moja,ina maana sasa speed zote za internet TTCL watahamishia Kigali sisi huku tutabakiwa na majalala au makombo ya Rwanda. VODA mpoooo nyie ndiye wakombozi ,shusheni bei tuhamie kwenu.Zebedayo

    ReplyDelete
  9. Kagame has shown the way forward for Africa: trade among yourselves, sons.

    David K

    ReplyDelete
  10. Jamhuri ya Rwanda:

    Hawa jamaa ni ndugu wa ukweli!,,,angalia wamesoma alama za nyakati wameona huko Magharibi wamekuwa na roho mbaya baada ya kufilisika Kifedha na Kiuchumi memetumia busara wamejifunza kwa jirani zetu Kenya wameona watugeukie sisi ndugu zao, wenzetu ktk hii hii Jumuia ya Afrika ya Mashariki, Kenya wanalia kwa kulizwa na kadhia ya ORANGE-FRANCE TELECOM!

    WIKI ZILIZOPITA WALIKATIWA NA UFARANSA MAWASILIANO YA FIBER OPTIC CABLE BAHARINI !

    ReplyDelete
  11. please be assured that the TTCL is now logically divided into two: the one receiving this is the component dealing with National fiber backborn and not the one you always fight with.
    Best option for both as it was realized that if rwanda takes link from kenya, they had to pay tarif for kenya and uganda as it passes through uganda.

    Best wishes TZ and prepare for war with kenya in a very long future coz u are directly compting.

    G7

    ReplyDelete
  12. Stakeholder G7 Anonymous of Wed Apr 18. 11:01L:00 AM 2012

    Merever, apart from transit Tarrif through Uganda, the Kenya Telecom systems is just in the trauma from a brocken contract with the Orange France Telecom esulted from Fiber optic disconnection few days back that something it will never manage to supply to Rwanda !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...