Wasanii wanaochipukia kutoka mkoani Dodoma waliojitokeza katika ukumbi wa Club 84 katika usaili wa kuwa kati ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha la ziara ya washindi itakayofanyika mkoani humo Jumamosi ya tarehe28 mwezi huu katika viwanja vya Jamhuri.
Mmoja kati ya wakazi wa dodoma waliojitokeza kuwania kutumbuiza jukwaa moja na washindi wa tunzo za kili za mwaka huu akifamyiwa intavyuu kuwania nafasi hiyo ukumbi wa 84 mkoani Dodoma
Wengine walikuja na vyombo vya ala, huyu akisaidiwa na muongozaji wa kipindi kupata muziki mzuri mbele ya majaji ambao hawapo pichani pia
Majaji wa kusaka vipaji vipya vyaZiara ya washindi wa Kili Awards 2012 mkoani Dodoma, Joseph Haule, Henry Mdimu, Queen Darleen na Juma Nature. Mpambano unaendelea ambapo jioni hii watapatikana washindi watatu ambao watauwakilisha mkoa wa Dodoma katika Tamasha la washindi wa tuzo za Kilimanjaro za msimu huu litakalofanyika Jumamosi hii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...