Miss Tanzania 1999 Hoyce Temu akiandaa moja ya vipindi vuake vya 'MIMI NA TANZANIA' kinachohusu masuala yanayoigusa jamii kwa namna moja au nyingine haswa katika siasa, uchumi,michezo,na vikwazo na vimbwangwa vinavyoikumba jamii ya kitanzania.
'Mimi Na Tanzania' ni kipindi kisicho na upendeleo katika kumsaidia mwananchi wa kawaida haswa unyanyasaji unaofanywa na wanaodhani wana nguvu kuliko aliyewaumba. Tunamulika kaskazi hadi kusini, magharibi hadi mashariki ili kujenga jamii yenye amani, haki na upendo.
'Mimi Na Tanzania' ni kipindi pekee kinachofunga safari kukutafutia habari za kijamii popote pale Tanzania. Kinarushwa Channel 10 kila Jumapili saa 1.30 jioni. Usikose kuangalia kipindi hiki kabambe.
ama angalia/bofya tangazo pembeni kulia hapo
That is the truth! Bloggers are rocking now!Michuzi Blog kweli ni kiongozi wa bloggers tukubali tu. Lakini nataka kujua bloggers wanafanyaje kuthibiti bloggers wanaootumia blogs zao vibaya kutukania watu?
ReplyDelete