Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa Wateja wakubwa wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akifurahia tuzo ya Uwekezaji Endelevu katika Jamii Afrika Mashariki inayotolewa na Bank M mara baada ya kuipokea kutoka kwa Balozi wa Burundi nchini. Vodacom Tanzania imeshinda tuzo hiyo kupitia mradi wake wa kusaidia wajasiriamali wadogo wanawake uitwao MWEI. Kushoto ni Meneja wa Vodacom Foundation katika masuala ya ustawi wa jamii Mwamvua Mlangwa anaeusimamia mradi huo.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt akisoma tuzo ya Uwekezaji Bora Endelevu katika Jamii kwa Makampuni ya Afrika Mashariki iliyotunukiwa kampuni ya Vodacom Tanzania kutokana na mradi wake wa kusaidia wajasiriamali wadogo wanawake vijijini wa MWEI. Kulia ni Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa Wateja Wakubwa Mwamvita Makamba.Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika jana usiku jijini Dar es salaam.
Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa Wateja wakubwa wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akifurahia tuzo ya Uwekezaji Endelevu katika Jamii Afrika Mashariki inayotolewa na Bank M mara baada ya kuipokea kutoka kwa Balozi wa Burundi nchini Issa Ntambuka(Kulia). Vodacom Tanzania imeshinda tuzo hiyo kupitia mradi wake wa kusaidia wajasiriamali wadogo wanawake uitwao MWEI. Kushoto ni Meneja wa Vodacom Foundation katika masuala ya ustawi wa jamii Mwamvua Mlangwa anaeusimamia mradi huo.
Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa Wateja Wakubwa wa Vodacom Tanzania,Mwamvita Makamba akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo ya Uwekezaji Endelevu katika Jamii Afrika Mashariki wakati wa utoji wa Tuzo hizo inayotolewa na Bank M kwa makampuni bora ya Afrika Mashariki. Vodacom Tanzania imeshinda tuzo hiyo kupitia mradi wake wa kusaidia wajasiriamali wadogo vijijini wa MWEI. Kulia ni Meneja wa mradi huo Mwamvua Mlangwa.Hafla hiyo imefanyika jana jijini Dar es salaam.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt akiwa ameshika tuzo ya Uwekezaji Bora Endelevu katika Jamii kwa Makampuni ya Afrika Mashariki iliyotunukiwa kampuni ya Vodacom Tanzania kutokana na mradi wake wa kusaidia wajasiriamali wadogo wanawake vijijini wa MWEI. Katikati ni Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa Wateja Wakubwa Mwamvita Makamba pamoja na wadau.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Amrose nakuona mambo sasa yanaanza kunyooka, hiyo konoozii angalia mamsapu asije tembelea glob yetu akaiona.

    ReplyDelete
  2. Amrose nakuona mambo sasa yanaanza kunyooka, hiyo konoozii angalia mamsapu asije tembelea glob yetu akaiona.

    ReplyDelete
  3. Amrose nakuona mambo sasa yanaanza kunyooka, hiyo konoozii angalia mamsapu asije tembelea glob yetu akaiona.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...