Baadhi ya wakaguzi wa ndani kutoka Idara zinazojitegemea na Wizara mbalimbali wakiwa katika mafunzo ya siku nne ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao juu ya kufanya ukaguzi unazingatia maeneo hatarisha ili kupunguza hoja za kikaguzi. Mafunzo hayo yalianza leo jijini Dar es salam na kufunguliwa na Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani Constantine Mashoko

Mkaguzi Mkuu Msaidizi wa Ndani (Assistant Internal Auditor General ) Bw Emmanuel Subi akieleza malengo ya mafunzo ya siku nne ya wakaguzi wa ndani kutoka Wizara mbalimbali na Idara zinazojitegemea leo jijini Dar es salaam juu ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao katika kufanya ukaguzi unaozingatia maeneo hatarisha ili kupunguza hoja za kikaguzi.
Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani Bw Constantine Mashoko akifungua mafunzo ya siku nne ya wakaguzi wa ndani kutoka Wizara mbalimbali na Idara zinazojitegemea leo jijini Dar es salaam juu ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao katika kufanya ukaguzi unaozingatia maeneo hatarisha ili kupunguza hoja za kikaguzi. Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam
Hawa Wakaguzi wa ndani wanazidiwa Kimabao na wezi kwa kuwa Wajanja wengi ni mabingwa wa Usanii na mipango mipango wakati Wakaguzi tokea wamalize Diploma zao za CBE na Mzumbe hawajaingia Mtaani moja kwa moja wameitwa kazini hivyo wanapigwa bao kwa kutokujua mipango miji.
ReplyDelete