Baadhi ya wakaguzi wa ndani  kutoka Idara zinazojitegemea na Wizara mbalimbali wakiwa katika mafunzo ya siku nne ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao juu ya kufanya ukaguzi unazingatia maeneo hatarisha ili kupunguza hoja za kikaguzi. Mafunzo hayo yalianza leo jijini Dar es salam na kufunguliwa na Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani Constantine Mashoko

 Mkaguzi Mkuu Msaidizi wa Ndani (Assistant Internal Auditor General ) Bw Emmanuel Subi akieleza malengo ya mafunzo ya siku nne ya wakaguzi wa ndani kutoka Wizara mbalimbali na Idara zinazojitegemea  leo jijini Dar es salaam juu ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao katika kufanya ukaguzi unaozingatia maeneo hatarisha ili kupunguza hoja za kikaguzi.

Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani Bw Constantine Mashoko akifungua mafunzo ya siku nne ya wakaguzi wa ndani kutoka Wizara mbalimbali na Idara zinazojitegemea  leo jijini Dar es salaam juu ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao katika kufanya ukaguzi unaozingatia maeneo hatarisha ili kupunguza hoja za kikaguzi. Picha  na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hawa Wakaguzi wa ndani wanazidiwa Kimabao na wezi kwa kuwa Wajanja wengi ni mabingwa wa Usanii na mipango mipango wakati Wakaguzi tokea wamalize Diploma zao za CBE na Mzumbe hawajaingia Mtaani moja kwa moja wameitwa kazini hivyo wanapigwa bao kwa kutokujua mipango miji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...