Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM Matungu Changamka,katika kijiji cha Vitongoji Kusini Pemba alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akimkabidhi kadi ya uanachama wa CCM Safia Haji Ali,wakati wa Sherehe za uwekaji wa  jiwe la msingi Tawi la CCM Matungu Changamka,katika kijiji cha Vitongoji Kusini Pemba, alipokua katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi leo. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akimkabidhi kadi ya uanachama wa UVCCM Hafidh Rashid Juma,wakati wa Sherehe za uwekaji wa  jiwe la msingi Tawi la CCM Matungu Changamka,katika kijiji cha Vitongoji Kusini Pemba, alipokua katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi  leo.
 Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Shehia ya Vitongoji  Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la   Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, alipokuwa akizunza nao, mara baada ya kuliwekea jiwe la msingi Tawi la CCM Matungu Changamka,katika kijiji cha Vitongoji Kusini Pemba alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi. 
 Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la  Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Chake chake Pemba leo huko Shehia ya Vitongoji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,(katikati)akifuatana na viongozi wa CCM Mkoa wa kusini Pemba mara baada ya kuliwekea jiwe la msingi Tawi la CCM Matungu Changamka,katika kijiji cha Vitongoji Kusini Pemba alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi leo.  [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Dr Chein chapa kazi mafisadi wa tanzania bara wachukue mfano kutoka kwako. songa mbele

    ReplyDelete
  2. Matungu Changamka. Majina ya Zenji kiboko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...