Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi Kenya na Mwakilishi wa Kudumu kwenye Mashirika ya Umoja wa Mataifa ( UN-HABITAT NA UNEP),Mh. Batilda S. Burian akiwasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Makazi Duniani,Dr. joan Clos kwenye ofisi za Shirika hilo,jijini Nairobi.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi Kenya,Mh. Batilda S. Burian akikabidhi zawadi ya mlango maalum wenye nakshi ya Zanzibar, ambao unajulikana zaidi kama Zanzibar Door kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Makazi Duniani (UN-HABITAT),Dr. Joan Clos muda mfupi baada ya kuwasilisha hati yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2012

    HONGERA SANA.
    Mh.Batilda burian.
    wewe ni mtu makini sana.
    mdau UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...