BETTER DAYS NA MARAFIKI WA KWELI LTD. KWA MARA NYINGINE WANAKULETEA SHINDANO LA MISS NA MR IFM 2012  , NDANI YA UKUMBI WA KIFAHARI WA CRISTAL HALL (UBUNGO PLAZA) IJUMAA HII TAREHE 25 MEI. WAREMBO WATASINDIKIZWA NA DIAMOND PLATNUMS PAMOJA NA NAS 3 AKISHIRIKIANA NA RICH BOY.. NI  KWA KIINGILIO CHA TSHS 15,000/= KWA WOTE NA TSHS 30,000/= KWA VIP... PATA TICKETS ZAKO MAPEMA KATIKA DUKA LA ROBY ONE KINONDONI NA STREERS MJINI.

NJOO UJIONEE UMUHIMU WA CLASSIC EVENT TOKA KWA WAANDAAJI MAHIRI NA BURUDANI SAFIII NDANI YA UBUNGO PLAZA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2012

    Tangazo lina viwango.. zuri sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...