Mama Salma Kikwete akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa madakatari wa Children's Hospital Global Affairs iliyopo Washington, DC siku alipofanya ziara Hospitali hiyo kulia ni Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Suleiman Saleh.
Picha Juu na chini ni Profesa Jerome Paulsen, Daktari naMkurugenzi wa Children's Hospital Global Affairs akizungumza na ujumbe wa
Mama Salma Kikwete kuhusu mpango wa Hospitali hiyo ya kuwafundisha
madaktari kuhusu magonjwa ya watoto yatokanayo na uchafuzi wa mazingira. kushoto picha ya chini ni Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Suleiman Saleh.




hii ilikuwa lini? mbona huyo suleiman saleh sasahivi ni balozi wa tanzania nchini oman.
ReplyDeleteMama ana mkalimani ama analazimika kusmile tu teh teh make najua slang za huko atakuwa hapati kitu inabidi acheke tu kuonyesha anapata pata haa haa kaaaaaazi kweli kweli hongera lakini umetembeapo
ReplyDeleteSafi sana MAMA SALMA.
ReplyDelete