An Noor Community Centre ikishirikisha Madrassatul Noor Leicester ya UK inafuraha kuwaalika Waislamu wote nchini UK
Katika HAFLA (Fundraising Dinner) kwa ajili ya chakula cha kuchangia ununuzi wa jengo kwa ajili ya Msikiti, Madrasa na Maktaba ya Kiislamu
Hafla hiyo itafanyika kwa utaratibu ufuatao:
SIKU NA TAREHE: Jumapili 20 Mei 2012
PAHALA: Leicester Exhibition Centre, 203 Belgrave Road,LE1 3HT
MUDA: Saa kumi na moja jioni hadi saa Nne usiku (5.00pm-10.00pm)
Kadi zinapatikana mlangoni siku ya hafla
Wanawake na watoto £15, Wanaume £25
Kama unapenda kuchangia ila hutaweza kuhudhuria, tafadhali waweza kutuma mchango wako kwa akaunti ifuatayo:
Bank: LLOYDS TSB
Account Name: Madrassatul Noor Leicester
Account Number: 45127768
Sort Code: 30-94-97
Kwa walio nje ya nchi:
International Account Details:
LOYDGB21029
Iban: GB27LOYD30949745127768
Shime tushirikiane kufanikisha mradi huu wa kheri. Kumbuka, Mwenye kuchangia ujenzi wa nyumba ya Allah, Allah atamjengea nyumba ndani ya pepo yake adhimu.
Kwa maelezo zaidi juu ya project hii, tafadhali wasiliana na:
MWENYEKITI WA JUMUIA -Mohammed OMAR +44 790 397 8481
MAKAMU MWENYEKITI -Abdul DAU +44 779 210 4495
AN NOOR COMMUNITY CENTRE
CHARITY NUMBER 1146906
Sasa wakristo, marastafari, bahai bahaula, singa singa,pagani NK, hawatakiwi kuja kwenye makutano hayo?
ReplyDeletehao uliowataja wote si waalikwa kwahio HAWARUHUSIWI, wanaotakiwa ni waislamu tu wewe ulieuliza hivi kama hufahamu kiswahili sema tukueleweshe kwa lugha gani unayiifahamu wewe
ReplyDeletehapa tulipo sisi tunazungumza lugha zote za dunia hii kwani tumekuandikia kwa lugha ya taifa kiswahili fasaha sana ila bado twakuona unakigugumizi cha ufahamuji
Mwenyezi Mungu (SWT) awafanyie wepesi ili muweze kufanikiwa Insh'Allah
ReplyDelete